Iringa kwa teuzi hizi mmetisha. Hakika Mzee Luhanjo amewaacha pazuri!

Jokate mngoni wa Songea huko
 
Kati ya kabila hatari nchi hii hili ni mojawapo,namaanisha ule uiringa!

Jamaa wana kiukabilq fulani hvi,nenda SUA uone ukabila wao;

Tunasema sana kuhusu wachaga ila hawa wanakuja speed kubwa.
 
Vyeo vya ushemeji na ushangazi![emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ila hawana tija yoyote kwa mkoa. Misifa tu lakini wabinafsi sana wote hao pamoja na kina Lukuvi, Adam Sapi Mkwawa, nk Wazalendo wa Iringa ni wale wasiokuwa na madaraka yoyote ya kisiasa kama kina Hance Pope, Vunja Bei, ASAS nk
 
Chongolo na Luhanjo kwao ni Njombe Wilaya ya Wanging'ombe. Joketi Mbinga Mkoa wa Ruvuma, Jenister Songea Peramiho. Mangula ni Njombe
chongolo kwao ni mafinga pale knyanambo B karibu na vilabu vya chula hadi sasa mama yake anauza pombe za kienyeji komoni na kihambule tunaita kwa pooza jino hata hivo kule anaitwa godfrey sasa hilo la daniel ndo huwa linatupa was was
 
Hii nchi hatari Sana. Connection everywhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…