Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

Polisi wanachoweza kufanya ili kumtendea haki kijana huyu (na watanzania wote) ni kumwomba radhi kwa kumbambikizia kesi na kuwataja waliomteka kiuhakika (kwani wanawajua). Pia chuo kikuu cha dar es salaam kinapaswa kumwomba radhi kijana huyu kwa kujiingiza na kuchukua upande badala ya kuwa mtetezi wake. Na walijua kuwa hana makosa.
 
Kwa hiyonhiyo mahakama inasema kimtindo kuwa dogo alitekwa?
 
Jamhuri inapojaribu kuwabambikia raia wake kesi za uongo!
 
Sasa vile wakina mwigulu na makonda walivyokuwa wanamhukumu majukwaani wanajisikiaje?

Kumbe ni kweli alitekwa
Ndio maana yake alitekwa kweli nani kamteka watatuambia hao waliosema kajiteka
 
Sisi hatusumbuki na mashataka dhidi yake tunajisumbua na chanzo cha mashtaka -kujiteka je kwa hukumu ya mahakama ina maana jamaa alitekwa ?na kama jibu ndio ni nani aliye mteka ?japo tunajua kwa nini alitekwa suala ni nani aliyemteka
 
Inapendeza sana...

Baada ya hapo ni masharti yapi amepewa... je baada ya kushinda kesi, uraia wake bado una utata au ni raia wa kawiada sasa hivi?



Cc: mahondaw
 
Safi sana!!!! Yaani tunahangaika a mambo ya kipuuzi tu!!!!
 
Ni pale aliyeripoti polisi kutekwa badala ya kupewa msaada na kufanya uchunguzi aligeuka mtuhumiwa na kunyanganywa vitu vyake. Hapo ndipo mashaka yalipoamzia. Swali je kwa nini hawakutaka kuchunguza ametekwaje badala yake wakawa kama walikuwa wanamsubiri afike wamfungulie mashitaka
 
Kufuli alivyo mpenda visasi na haridhiki utasikia huyu dogo ana kesi nyingine, yaani kuna binadamu wana roho mbaya balaa.
 
Vipi kuhusu ulinzi?ina maana waliomteka ndio basi tena hawatafutwi?
Ilo wanajua waliotaka kumnyima dhamana. Kuna kesi uchwara kama hizi upelekea wote kudharaulika duniani.
 
πŸ–....Kama nawaona wale jamaaa waliomsimamisha masomo.. .πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Hilo paja la mwana BAVICHA Hilda Newton Chadema nimelielewa sana mtoto ana paja lainiiii la kung'aaa

Hongera ndugu Nondo kwa kuwapiga za uso kina jiwe na genge lake

Duh....watu mna-zoom hatareeee. Punguzeni chabo aisee [emoji85]
 
Yaone sasa maCCM yanavyoumbuka, hayoooooooooo! Mimacho imeyatoka kama chura aliyebanwa na mlango. Kumharibia tu masomo kijana wa watu bila kosa lolote. Acheni usenge-rema nyie majitu!
 
Hii miezi kadhaa iliyopita haikuwa rahisi kabisa kwa huyo dogo. Alichoshwa hoi. Pole zake na kila kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…