Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

 
Mamlaka toka juu imekuchelewesha tuu kufika safari yako. Mwakani utarejea kumalizia ngwe ilyobakia kwenye masomo yako.
Kuwa makini kwani lengo lao lilikuwa baya ndio mana wakaja na hii kesi ya kijinga
 
Kwa matamshi yote Yale ya Mwigulu,kumbe ilikuwa hewa tu, aje hapa sasa aongee tena. Hii nchi inavituko Kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…