Iringa: Mahakama ya Wilaya yamwachia huru Abdul Nondo baada ya kutomkuta na hatia

Kama vile ambavyo hatafungwa mtu kwa USHOGA. Vijana wa Chama kila mmoja anacheza wimbo wa Bashite na Kigwa social media (hadi wasomi wanaojua sheria). Teuzi zinatafutwa jamani, hivi Bashite yupo kwenye kamati ya teuzi?
 
God Bless Magufuli, maana, angalau ameiachia au ameiachia mhimili wa mahakama kutenda haki, na haki yenyewe kuonekana inatendeka.

Big up sana mhimili wa mahakama kwa kutenda haki.
Unaweza usiwe na imani na Bunge, na maisha yakaendelea, usiwe na imani na serikali, maisha yakaendelea, lakini taifa linapokosa imani na mahakama, hakuna maisha.
P
 
Hilo paja la mwana BAVICHA Hilda Newton Chadema nimelielewa sana mtoto ana paja lainiiii la kung'aaa

Hongera ndugu Nondo kwa kuwapiga za uso kina jiwe na genge lake
Wewe nyoko kweli🙃
 
Kuna kapaja pale pembeni[emoji39]
 
Kwahio na hii imepewa maagizo? au maagizo ni pale mtu anapoona alietaka ashinde anashndwa?
Walichokitaka ni kumlaza ndani na wamefanya hivyo, mahakama zote kesi za kipuuzi kama hizi zinapigwa chini mapema tu.

Jiulize kwa nini kesi ya kina Ruge Malila na wengine wengi zinapigwa kalenda lakini kesi hii ya juzi tu imeshatolewa hukumu?
 
Sasa wale wachumia tumbo walio msimamishia masomo watamrudisha chuoni??? Au ndio saga linaanza??
 
Pascal Mayalla mbona hujatupa mrejesho wako toka Kamati ya Bunge? Nini walikuuliza na nini uliwajibu au ni siri ya mtungi??
 
..... Kumbe hakii ikiamua kutendwa inatendeka .... MUNGU amsaidie kijana akasome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…