Iringa: Maria Ngoda aliyefungwa kwa kukutwa na nyama ya swala aachiwa huru na Mahakama Kuu

Kama Lucas, na wewe ni wale chawa mnaotaka ili mtu kupata haki kisheria inamlazimu apitie CCM? Tunahitaji mahakama huru siyo hizi za mashinikizo ya CCM
kwahiyo chadema ikichukua mawakili wake na kwenda kuwatetea wanachama wake mahakamani hiyo ni sawa sawia haina tatizo 🐒

Lakini CCM ikitumia mawakili wake kuwatetea wanachama wake hiyo ni mbaya, ni nongwa ni shinikizo na mahakama sio huru 🤣🤣

ndezi kweli hii dunia 🤣🤣 dah!!

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Kama Lucas, na wewe ni wale chawa mnaotaka ili mtu kupata haki kisheria inamlazimu apitie CCM? Tunahitaji mahakama huru siyo hizi za mashinikizo ya CCM
Ukienda CCM unatafutiwa msaada wa hali na mali ikiwepo kupewa mawakili. Mfano huyu mama mjane alikosa mawakili awali lakini CCM ilipopata habari ikaamua kuweka kambi Iringa na mawakili wa kumsaidia mama huyu mnyonge ,ambaye leo amepata tabasamu na kutoka machozi ya furaha
 
Hao Wapaka Mikorogo tokea lini wameanza kuwa Watetezi?

Au Wamenza kuwaiga BAWACHA.
Bora wangekuwa wapaka mikorogo tu, ila hao ni zaidi ya mikorogo,ni "majamvi na matandiko" ya "wanamambuzi mabeberu".

Ni viburudisho tu vya "me" wa CCM.
 
Hatari sana hii nchi!
 
Sijuhi kwann CCM imegeuka kuwa na vijana misukule. Piganieni mihimili ya dola iwe huru, muda si mrefu CCM kitakuwa cha upinzani.

Halafu nimeona clip, masikini kada mwenzenu akiita hii mihimili ya dola kwa jina la "mihamala"!!!
 
ukiwa na gubu huwezi ona usahihi wa jambo lolote hata siku moja 🐒

CCM ata ikiwa Upinzani itakua ni vibrant opposition sio kama hii yenu ya kanyaga twende zigzag, dandia dandia kila kitu 🐒

haiwezekani kushika dola kwa manung'uniko na mihemko hata siku moja. Nisawa na kujiuliza mwenyewe na kujijibu mwenyewe 🐒

kutokujua utakacho ni kitu mbaya sana 🐒

RIP Laigwanan comrade ENL
 
Sijuhi kwann CCM imegeuka kuwa na vijana misukule. Piganieni mihimili ya dola iwe huru, muda si mrefu CCM kitakuwa cha upinzani.

Halafu nimeona clip, masikini kada mwenzenu akiita hii mihimili ya dola kwa jina la "mihamala"!!!
Hakuna chama chenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kushindana na CCM Katika sanduku la kura na mahali pengine popote pale. CCM Ni Chama Kiongozi barani Afrika.
 
Kwani si alifungwa na serikali hiyo hiyo ya wanyonge
 
Tusingepaza sauti huyu mama angeozea jela.
Laana iwe juu ya kila aliyehusika kumfunga Mama Mtanzania maskini kwa vipande vya swala na kuwaacha mafisadi
Kwa kiasi flani,mfumo wetu wa Mahakama,hasa hizi Mahakama za chini,zina changamoto,h ..Mf huyu dada+ wakina Dr Pima,walivyohukumiwa lakini Mahakama kuu,IMETENGUA..vp kama kusingekuwa na kelele+ Mawakili?..

Natamani kila Mtanzania awe anapata haki ya kusimamIwa na Mawakili
 
Unataka tuipongeze CCM Kwa kumfunga au kwakumUachia?
 
Mama uliyerudishwa uraiani karibuni Sana lakini Tanzania imejaa maigizo ya kutosha. Ulihukumiwa miaka 22 jela rufaa ikakatwa na UWT. Kwangu Mimi hapo ndipo maigizo yalipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…