Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #161
Hakuna swali kama umeshindwa kujibu swali langu.Ujajibu Swali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna swali kama umeshindwa kujibu swali langu.Ujajibu Swali
kwahiyo chadema ikichukua mawakili wake na kwenda kuwatetea wanachama wake mahakamani hiyo ni sawa sawia haina tatizo 🐒Kama Lucas, na wewe ni wale chawa mnaotaka ili mtu kupata haki kisheria inamlazimu apitie CCM? Tunahitaji mahakama huru siyo hizi za mashinikizo ya CCM
Ukienda CCM unatafutiwa msaada wa hali na mali ikiwepo kupewa mawakili. Mfano huyu mama mjane alikosa mawakili awali lakini CCM ilipopata habari ikaamua kuweka kambi Iringa na mawakili wa kumsaidia mama huyu mnyonge ,ambaye leo amepata tabasamu na kutoka machozi ya furahaKama Lucas, na wewe ni wale chawa mnaotaka ili mtu kupata haki kisheria inamlazimu apitie CCM? Tunahitaji mahakama huru siyo hizi za mashinikizo ya CCM
😀😀😀Ukiwa na shida nenda ofisi ya CCM ukaeleze kero yako na utasaidiwa haraka sana.maama CCM Ni watetezi wa wanyonge.
Bora wangekuwa wapaka mikorogo tu, ila hao ni zaidi ya mikorogo,ni "majamvi na matandiko" ya "wanamambuzi mabeberu".Hao Wapaka Mikorogo tokea lini wameanza kuwa Watetezi?
Au Wamenza kuwaiga BAWACHA.
Hatari sana hii nchi!Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Sijuhi kwann CCM imegeuka kuwa na vijana misukule. Piganieni mihimili ya dola iwe huru, muda si mrefu CCM kitakuwa cha upinzani.kwahiyo chadema ikichukua mawakili wake na kwenda kuwatetea wanachama wake mahakamani hiyo ni sawa sawia haina tatizo [emoji205]
Lakini CCM ikitumia mawakili wake kuwatetea wanachama wake hiyo ni mbaya, ni nongwa ni shinikizo na mahakama sio huru [emoji1787][emoji1787]
ndezi kweli hii dunia [emoji1787][emoji1787] dah!!
R.I.P Laigwanan comrade ENL
ukiwa na gubu huwezi ona usahihi wa jambo lolote hata siku moja 🐒Sijuhi kwann CCM imegeuka kuwa na vijana misukule. Piganieni mihimili ya dola iwe huru, muda si mrefu CCM kitakuwa cha upinzani.
Halafu nimeona clip, masikini kada mwenzenu akiita hii mihimili ya dola kwa jina la "mihamala"!!!
Hakuna chama chenye uwezo wala ubavu wala nguvu ya kushindana na CCM Katika sanduku la kura na mahali pengine popote pale. CCM Ni Chama Kiongozi barani Afrika.Sijuhi kwann CCM imegeuka kuwa na vijana misukule. Piganieni mihimili ya dola iwe huru, muda si mrefu CCM kitakuwa cha upinzani.
Halafu nimeona clip, masikini kada mwenzenu akiita hii mihimili ya dola kwa jina la "mihamala"!!!
Acha mawazo finyu .Bora wangekuwa wapaka mikorogo tu, ila hao ni zaidi ya mikorogo,ni "majamvi na matandiko" ya "wanamambuzi mabeberu".
Ni viburudisho tu vya "me" wa CCM.
Kwani si alifungwa na serikali hiyo hiyo ya wanyongeMahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Alifungwa na mahakama na siyo serikali.Kwani si alifungwa na serikali hiyo hiyo ya wanyonge
Ni TLS siyo UWT.Mbona mwanzoni tulisikia na kusoma ni TLS sasa imekuwaje tena tunasikia CCM na UWT ?? Hebu nyoosha maneno hapo - msituchanganyie mafaili.
Ni UWTNi TLS siyo UWT.
Endelea kutikisa wowowo tuCCM Ni mtetezi wa wanyonge.hata wewe kama kuna mahali unaona kuwa umeonewa na umenyiwma haki yako basi lete kero yako ndani ya CCM ili usaidiwe kupata haki yako.
Endelea na ujinga wako .Endelea kutikisa wowowo tu
Duuuh! Wewe ndio mjinga namba moja humu jfEndelea na ujinga wako .
Kwa kiasi flani,mfumo wetu wa Mahakama,hasa hizi Mahakama za chini,zina changamoto,h ..Mf huyu dada+ wakina Dr Pima,walivyohukumiwa lakini Mahakama kuu,IMETENGUA..vp kama kusingekuwa na kelele+ Mawakili?..Tusingepaza sauti huyu mama angeozea jela.
Laana iwe juu ya kila aliyehusika kumfunga Mama Mtanzania maskini kwa vipande vya swala na kuwaacha mafisadi
Unataka tuipongeze CCM Kwa kumfunga au kwakumUachia?Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.
Bi. Ngoda ameachiwa baada ya kushinda rufaa iliyosimamiwa na UWT.
Pia soma > Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara
----
Ndugu zangu Watanzania,
Umoja wa wanawake wa CCM Tanzania chini ya uongozi wa Mheshimiwa mama marry chatanda kama mwenyekiti pamoja na katibu mkuu wake Mheshimiwa Jokate Mwegelo, imefanikiwa kumrejeshea tabasamu na furaha mama Maria wa Iringa ambaye alikuwa amefungwa kifungo cha muda mrefu kwa madai kuwa alikutwa na nyama ya porini kinyume na sheria.
Leo februari 16 ndio ilikuwa siku ya hukumu baada ya umoja huo wa CCM kumkatia rufaa mama huyo mnyonge na aliyehitaji msaada wa hali na mali ambapo mahakama imetoa hukumu na kumuachia huru mama huyo mnyonge aliyetetewa na chama cha Mapinduzi kinachowajali, kuwatetea na kuwasemea wanyonge.
Hii ndio sababu ya CCM kuendelea kuwa kimbilio la wanyonge na kuendelea kuungwa mkono na kupigiwa kura za ndio kwa kishindo kila uchaguzi. Sasa unafikiri ni vipi mama huyu ambaye amebubujikwa machozi ya furaha baada ya kutolewa gerezani atashindwa kuipigia kura CCM?
Ni vipi ataacha kuiunga mkono CCM? Ni vipi ndugu, jamaa, marafiki na watoto wake wataacha kuipenda CCM iliyo mtetezi wa wanyonge?
Mama uliyerudishwa uraiani karibuni Sana lakini Tanzania imejaa maigizo ya kutosha. Ulihukumiwa miaka 22 jela rufaa ikakatwa na UWT. Kwangu Mimi hapo ndipo maigizo yalipo.Mahakama Kuu Kanda ya Iringa leo imemwachia huru Maria Ngoda aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala Novemba 3, 2023, Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo ameeleza.