Iringa: Mbwa Mayele asifika kusaidia kufanikisha doria ya kuwasaka Simba waliovamia vijiji

carnage21

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2023
Posts
591
Reaction score
1,382
Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.

lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂.

12200759.295.jpg

===========

Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani hapa, doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa alinayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba.

Iringa
. Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani hapa, doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa alinayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Afisa Uhifadhi daraja la pili Said Stuard amesema mbwa hao waliungana na Askari wa Wanyamapori toka siku ya kwanza ya doria. “…uwezo wa mbwa Mayele umetusaidia kuona njia aliyopita Simba na watoto wake, na tumefanikiwa kuwaona,” amesema na kuongeza;

“Alikuwa na watoto wadogo katika msitu, njia inayoelekea kijiji cha Makongati japokuwa tumeshindwa kumdhibiti kutokana na mazingira, maana kuliwa na wananchi; hivyo kwa kuhofia usalama wao tukashindwa.”
Hata hivyo Mhifadhi huyo amewashukuru wananchi kwa kujitolea nguvu zao lakini pia kuwatoa mbwa wao ili kumsaka Simba huyo mwenye watoto.

Kwa upande mwingine amewataka wananchi hao kuwa watulivu na kutotembea katika mazingira yaliyojificha kwani ni hatari na kwamba hata Simba wakionekana, inakuwa vigumu kuwadhibiti juu ya uwepo wa watu.

Juhudi za muda mrefu zilifanywa ili kudhibiti suala la uvamizi wa Simba hao, ikujumuisha ushirikiano kati ya Serikali, wataalamu wa uhifadhi, na jamii; pamoja na kuzinduliwa kwa programu za kuelimisha wananchi namna bora za kuwaepuka na kujilinda dhidi ya wanyama hao hatari.

Imeelezwa kuwa mara baada ya kuanza doria, Mayele alipewa jukumu la kuongoza kikosi kilichokuwa kinajumuisha Askari Wanyamapori na baadhi ya wananchi, ambapo alionyesha uwezo wa kipekee katika kufuatilia harufu na kuelekeza njia ya walipo Simba hao.

Walipofika eneo ambalo Simba walikuwa wamejificha, walikuwa na tahadhari kubwa kwa sababu ya uwepo wa watu na walihofia kujeruhi au kusababisha madhara kwa watu waliokuwepo maeneo hayo hali hiyo iliwafanya washindwe kuwaua simba hao.

Mwanakijiji huyo amejipatia sifa kwa ushujaa wa mbwa wake ambaye sasa kajipatia umaarufu mkubwa kwa uwezo wake katika kusaidia maficho ya simba hao.

Nae Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kiponzelo Daines Kunzugala amesema bado wanafanya jitihada ili kumaliza tatizo hilo linalowafanya kuishi kwa hofu.

"Wananchi wengine waelewa na wamesimamisha shughuli zao zote za kiuchumi lakini Kuna baadhi Yao bado hawafuati maelekezo yanayotolewa ya kutulia majumbani hivyo elimu bado inatolewa," amesema Kunzugala
Petro Msilu Mkazi wa Kijiji cha Kiponzelo amesema mbwa wake (Mayele) anauelewa wa ajabu hivyo aliamua kumtoa ili asaidie katika kazi ya kuwata Simba hao ambao wamekuwa wakiua ng'ombe, na wanyama wengine wa kufugwa.

"Toka mdogo Mayele namfundisha mambo ya msingi na ana uelewa wa ajabu sio kama mbwa nyingine," amemsifia.

Mwananchi
 
l

Mwananchi
Ninamashaka na hii maana wanyarukolo walikwisha chinja wote, sasa huyu ametoka wapi tena kata ya Maboga!
 
Mbwa mayele wamtonye tu as soon as atamaliza kazi ya kusaka simba watamfanya nyaam nyaam
 
Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.

Mwananchi

Kilichokuharakisha ni jina Mayele, hata hivyo kuna Mbwa anaitwa jina Lolote tu binadamu, Hiyo haimfanyibinadam apunguke.
 
Daah nasikitka kusema kwamba nimesoma hii habar mpaka mwisho ila sijaona jambo lolote lamaana lililofanyika zaidi yakiendelea kuwatia wananchi hofu tu.
Imagine hapo ulipo unaambiwa Kuna Simba wanaranda mtaani hivyo muwe makini aisee!!!
 
Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.

lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂.

View attachment 2664930

===========

Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani hapa, doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa alinayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba.

Iringa
. Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani hapa, doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa alinayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Afisa Uhifadhi daraja la pili Said Stuard amesema mbwa hao waliungana na Askari wa Wanyamapori toka siku ya kwanza ya doria. “…uwezo wa mbwa Mayele umetusaidia kuona njia aliyopita Simba na watoto wake, na tumefanikiwa kuwaona,” amesema na kuongeza;

“Alikuwa na watoto wadogo katika msitu, njia inayoelekea kijiji cha Makongati japokuwa tumeshindwa kumdhibiti kutokana na mazingira, maana kuliwa na wananchi; hivyo kwa kuhofia usalama wao tukashindwa.”
Hata hivyo Mhifadhi huyo amewashukuru wananchi kwa kujitolea nguvu zao lakini pia kuwatoa mbwa wao ili kumsaka Simba huyo mwenye watoto.

Kwa upande mwingine amewataka wananchi hao kuwa watulivu na kutotembea katika mazingira yaliyojificha kwani ni hatari na kwamba hata Simba wakionekana, inakuwa vigumu kuwadhibiti juu ya uwepo wa watu.

Juhudi za muda mrefu zilifanywa ili kudhibiti suala la uvamizi wa Simba hao, ikujumuisha ushirikiano kati ya Serikali, wataalamu wa uhifadhi, na jamii; pamoja na kuzinduliwa kwa programu za kuelimisha wananchi namna bora za kuwaepuka na kujilinda dhidi ya wanyama hao hatari.

Imeelezwa kuwa mara baada ya kuanza doria, Mayele alipewa jukumu la kuongoza kikosi kilichokuwa kinajumuisha Askari Wanyamapori na baadhi ya wananchi, ambapo alionyesha uwezo wa kipekee katika kufuatilia harufu na kuelekeza njia ya walipo Simba hao.

Walipofika eneo ambalo Simba walikuwa wamejificha, walikuwa na tahadhari kubwa kwa sababu ya uwepo wa watu na walihofia kujeruhi au kusababisha madhara kwa watu waliokuwepo maeneo hayo hali hiyo iliwafanya washindwe kuwaua simba hao.

Mwanakijiji huyo amejipatia sifa kwa ushujaa wa mbwa wake ambaye sasa kajipatia umaarufu mkubwa kwa uwezo wake katika kusaidia maficho ya simba hao.

Nae Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kiponzelo Daines Kunzugala amesema bado wanafanya jitihada ili kumaliza tatizo hilo linalowafanya kuishi kwa hofu.

"Wananchi wengine waelewa na wamesimamisha shughuli zao zote za kiuchumi lakini Kuna baadhi Yao bado hawafuati maelekezo yanayotolewa ya kutulia majumbani hivyo elimu bado inatolewa," amesema Kunzugala
Petro Msilu Mkazi wa Kijiji cha Kiponzelo amesema mbwa wake (Mayele) anauelewa wa ajabu hivyo aliamua kumtoa ili asaidie katika kazi ya kuwata Simba hao ambao wamekuwa wakiua ng'ombe, na wanyama wengine wa kufugwa.

"Toka mdogo Mayele namfundisha mambo ya msingi na ana uelewa wa ajabu sio kama mbwa nyingine," amemsifia.

Mwananchi
Mbwa kapata treble
 
Nanukuu,

"Toka mdogo Mayele namfundisha mambo ya msingi na ana uelewa wa ajabu sio kama mbwa nyingine," amemsifia."

Niliwai kumiliki Mbwa mmoja wa kuitwa TIGER

TIGER alikua ni Mbwa mmoja mbabe wa wababe UNBEATEN yule alikua hajawai kuletewa kibesi na Mbwa wa aina yeyote.......

Pia Kuna dawa ya kienyeji UNACHUKUA MAGOME YA MTI MMOJA WA PORINI unaichanganya na Gamba la KAKAKUONA.......

UNAKUA UNA MIX KWENYE CHAKULA CHAKE MARA MBILI KWA WIKI HUYO MBWA ATAKUA NI FIELD MARSHAL UNBEATEN & UNDISPUTED CHAMPION.................

All in all huyo Mbwa lazima Kuna Dawa za kienyeji ana pewa ya kumfanya shupavu na jasir sanaaa

NB:
Mbwa wana uwezo wa kusikia kunusa na hata KUWAONA WACHAWI na MAJINI
 
Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani iringa,doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa anayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.

lets give credit kwa mbwa mayele😂😂😂.

View attachment 2664930

===========

Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani hapa, doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa alinayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba.

Iringa
. Siku chache baada ya Simba kuvamia vijiji mbalimbali katika Kata ya Maboga wilayani hapa, doria iliyofanywa kwa usaidizi wa mbwa alinayeitwa Mayele, yatajwa kuleta mafanikio baada ya kuonekana kwa Simba huyo.

Akizungumza na Mwananchi Digital, Afisa Uhifadhi daraja la pili Said Stuard amesema mbwa hao waliungana na Askari wa Wanyamapori toka siku ya kwanza ya doria. “…uwezo wa mbwa Mayele umetusaidia kuona njia aliyopita Simba na watoto wake, na tumefanikiwa kuwaona,” amesema na kuongeza;

“Alikuwa na watoto wadogo katika msitu, njia inayoelekea kijiji cha Makongati japokuwa tumeshindwa kumdhibiti kutokana na mazingira, maana kuliwa na wananchi; hivyo kwa kuhofia usalama wao tukashindwa.”
Hata hivyo Mhifadhi huyo amewashukuru wananchi kwa kujitolea nguvu zao lakini pia kuwatoa mbwa wao ili kumsaka Simba huyo mwenye watoto.

Kwa upande mwingine amewataka wananchi hao kuwa watulivu na kutotembea katika mazingira yaliyojificha kwani ni hatari na kwamba hata Simba wakionekana, inakuwa vigumu kuwadhibiti juu ya uwepo wa watu.

Juhudi za muda mrefu zilifanywa ili kudhibiti suala la uvamizi wa Simba hao, ikujumuisha ushirikiano kati ya Serikali, wataalamu wa uhifadhi, na jamii; pamoja na kuzinduliwa kwa programu za kuelimisha wananchi namna bora za kuwaepuka na kujilinda dhidi ya wanyama hao hatari.

Imeelezwa kuwa mara baada ya kuanza doria, Mayele alipewa jukumu la kuongoza kikosi kilichokuwa kinajumuisha Askari Wanyamapori na baadhi ya wananchi, ambapo alionyesha uwezo wa kipekee katika kufuatilia harufu na kuelekeza njia ya walipo Simba hao.

Walipofika eneo ambalo Simba walikuwa wamejificha, walikuwa na tahadhari kubwa kwa sababu ya uwepo wa watu na walihofia kujeruhi au kusababisha madhara kwa watu waliokuwepo maeneo hayo hali hiyo iliwafanya washindwe kuwaua simba hao.

Mwanakijiji huyo amejipatia sifa kwa ushujaa wa mbwa wake ambaye sasa kajipatia umaarufu mkubwa kwa uwezo wake katika kusaidia maficho ya simba hao.

Nae Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kiponzelo Daines Kunzugala amesema bado wanafanya jitihada ili kumaliza tatizo hilo linalowafanya kuishi kwa hofu.

"Wananchi wengine waelewa na wamesimamisha shughuli zao zote za kiuchumi lakini Kuna baadhi Yao bado hawafuati maelekezo yanayotolewa ya kutulia majumbani hivyo elimu bado inatolewa," amesema Kunzugala
Petro Msilu Mkazi wa Kijiji cha Kiponzelo amesema mbwa wake (Mayele) anauelewa wa ajabu hivyo aliamua kumtoa ili asaidie katika kazi ya kuwata Simba hao ambao wamekuwa wakiua ng'ombe, na wanyama wengine wa kufugwa.

"Toka mdogo Mayele namfundisha mambo ya msingi na ana uelewa wa ajabu sio kama mbwa nyingine," amemsifia.

Mwananchi
Waandishi wa bongo ni wavivu sana... wanatudia rudia mambo kwenye aya ili kujaza kurasa. Its boring.
 
Daah nasikitka kusema kwamba nimesoma hii habar mpaka mwisho ila sijaona jambo lolote lamaana lililofanyika zaidi yakiendelea kuwatia wananchi hofu tu.
Imagine hapo ulipo unaambiwa Kuna Simba wanaranda mtaani hivyo muwe makini aisee!!!
Hata kuwadhibiti hao Simba bado hawajaweza sana sana bado wanawafatilia tu .
 
Back
Top Bottom