Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Amenukuu wote ni wanaume au wanawake bado mleta mada haja dadavuwa.Siku hizi wanapanga chumba mtaani wanaishi kama mke na mume vile..
kwahiyo unataka Tanzania nzima tuoane au sijakupata?Hili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".
Jamii yetu inapaswa kubalika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".
Mbona ameelezea mkuuAmenukuu wote ni wanaume au wanawake bado mleta mada haja dadavuwa.
mbona hiyo kitambo mkuu siyo siku hiziSiku hizi wanapanga chumba mtaani wanaishi kama mke na mume vile..
Tuache zinaa na uasherati. Unataka mapenzi, basi oa au olewa.kwahiyo unataka Tanzania nzima tuoane au sijakupata?
Ipo insta hii, mtu na demu wake walinyimana mbususu,ni wivu wa mapenziAmenukuu wote ni wanaume au wanawake bado mleta mada haja dadavuwa.
Mapenzi hatari,hata watu wazima yanawasumbua.Haya ndio madhara ya kuingia kwenye mapenzi kwa mihemko.
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu Cha Iringa Bi Petronel Mwanisawa (21) ameuawa kwa kunyongwa na Mpenzi wake ambaye pia ni Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuoni hapo
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Juma Bwire amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba wanamshikilia mtuhumiwa Mr Prudence Patrick (22)
Tukio hilo la kusikitisha limetokea maeneo ya Kihesa Iringa na mtuhumiwa alikamatwa njia ya Dodoma akijaribu kutoroka
MCL
Mpenzi nakupenda..MAPENZI KONYO