Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Katika njia ngumu kuua ni kunyonga na kumziba mtu pumzi
 
Hili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".

Jamii yetu inapaswa kubalika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".
kwahiyo unataka Tanzania nzima tuoane au sijakupata?
 
Haya ndio madhara ya kuingia kwenye mapenzi kwa mihemko.
 
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu Cha Iringa Bi Petronel Mwanisawa (21) ameuawa kwa kunyongwa na Mpenzi wake ambaye pia ni Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuoni hapo

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Juma Bwire amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba wanamshikilia mtuhumiwa Mr Prudence Patrick (22)

Tukio hilo la kusikitisha limetokea maeneo ya Kihesa Iringa na mtuhumiwa alikamatwa njia ya Dodoma akijaribu kutoroka

MCL

Inasikitisha sana ,Poleni ndugu ,jamaa na marafiki ....Age ya 19-29 ni hatari sana kwa mihemuko na maamuzi ya ajabu.
 
Back
Top Bottom