Hili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".
Jamii yetu inapaswa kubadilika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".
NdioooUnanipena Mimi mkuu?
Uzoefuu huoo😂😂😂Mitoto ya mikoani inasoma kuanzia la kwanza hadi form six bila kuonja papuchi. Papuchi wanazikutia chuo, ndio madhara yake haya.
Sisi hukuTemeke Mikoroshini mapenzi tumeanzia darasa la pili. Papuchi zote tunazifahamu!
Wewe umelichukulia kwa imani yakoHili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".
Jamii yetu inapaswa kubadilika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".
😅😅 Walimwengu banaanal hole ikoje
Inategemea hilo neno "mapenzi" unalitumia katika muktadha upi. Mimi nimemaanisha matumizi ya hilo neno katika mahusiano. Wenye akili zao kichwani wamenielewa.
Jinsia gani weweNdiooo
Sio kidogoWatu wa mikoani wapo serious na nyege
Utoto nadhani umechangiaMarehemu sijui alimpeleka dogo kwa mpalange, mpaka kupelekea dogo kuchanganyikiwa kiasi hicho na mapenzi.
Yaani Mimi aijaelewa aliyenyongwa ni wakiume au wakike?
1 Kor 6:9
Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti
🤣🤣🤣Watu wa mikoani wapo serious na nyege
Umri wao unadhihirisha bado hawakuwa na ujasiri wa kukubaliana na matokeo baada ya mmojawao kubaini tabia za mwenzake.Kuua halijawahi kuwa suluhisho la matatizo.
Wangari MaathaiJamani kusoma hujui, kuona lipicha napo ushindwe!??? Prof. Ndalichangu kazi anayo kwelikweli. Au nasema uongo ndugu zangu!???
Unaonekana wewe ni mtaalam wa mambo hayo eee...Ukiua unatakiwa kuwa na akili mingi, sio unatuma tuma vimeseji vya kishamba. Watakunasa.