Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Tamaa ya ngono inahalalishwa na jamii /mamlaka kwa kuitwa wivu wa mapenzi
 
Si ukute alipiga shoo hadi binti akazima mazima. postmortem examination report inasemaje ndio hoja ya msingi, alinyongwa kweli, alibakwa na mtu mmoja au zaidi, anal hole ikoje, kila kitu kichunguzwe, ana michubuko, uvimbe, mvunjiko etc.
Kumbuka aliye nyongwa ni mwanaume
 
Mitoto ya mikoani inasoma kuanzia la kwanza hadi form six bila kuonja papuchi. Papuchi wanazikutia chuo, ndio madhara yake haya.
Sisi hukuTemeke Mikoroshini mapenzi tumeanzia darasa la pili. Papuchi zote tunazifahamu!
Wanadandia mapenzi hawa.
 
Wazazi hasa WA kike wangekuwa wanajua wamepeleka watoto kuolewa na si kusoma wangetumia hizo pesa Kwa kazi nyingine, ni aibu robo tatu wameolewa na kuishi kinyumba na wanafunzi wenzao wachache Sana watu Baki.
 
dah wanao dumu kweny ndoa saluti kwao, haya mapenzi ya boyfriend na girlfriend hata ujamlipia chchote kwao unafika kumua mtt wa watu dah mapenzi!!! tutafute tu hela.
 
Wote wanaume au wote wanawake dadavuwa.
Yaan haya magazeti yetu,niliona hii habari mahala fulani,nikaona petronel kauliwa na prudence nikashindwa kuelewa nani mwanamke na nani mwanaume,na hata hapa imeletwa wanachanganya mara yupo mwaka wa kwanza,mara wa pili....unahabarika huku unavurugwa.
 
Wazazi hasa WA kike wangekuwa wanajua wamepeleka watoto kuolewa na si kusoma wangetumia hizo pesa Kwa kazi nyingine, ni aibu robo tatu wameolewa na kuishi kinyumba na wanafunzi wenzao wachache Sana watu Baki.
Ww ukizaa mschana hutampeleka
Shule??
 
Back
Top Bottom