NafahamuUongozi wa Chuo Kikuu cha Iringa
Tumaini iringa saizi sio tena chuo kishiriki cha tumaini ndo maana kinaitwa iringa university zamani tumainiNafahamu
Tumaini, RUCU na MUCE,
Hicho cha Iringa kinamilikiwa na nani?
Mkuu kwani umeona gari zima? Kama trailler ni Double diff je?
Asante mkuu. Na pongezi kubwa sana kwako. Kuna watu uandishi bado sifuri kabisa.Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu Cha Iringa Bi Petronel Mwanisawa (21) ameuawa kwa kunyongwa na Mpenzi wake ambaye pia ni Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuoni hapo
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Juma Bwire amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba wanamshikilia mtuhumiwa Mr Prudence Patrick (22)
Tukio hilo la kusikitisha limetokea maeneo ya Kihesa Iringa na mtuhumiwa alikamatwa njia ya Dodoma akijaribu kutoroka
MCL
hivi watoto tukiwanyima simu za mkononi inaweza ikasaidia ?
Tatizo sio simu , tatizo ni malezi.hivi watoto tukiwanyima simu za mkononi inaweza ikasaidia ?
Kuua bila ya kukusudia sio kesi kubwa miaka 7 jela-->>Naye anyongwe tu, kwa njia ya taratibu huku akichapwa bakora,mpaka afe, itawaogopesha wapuuzi wengine wenye wivu wa kijinga.
😂😂😂😂😂😂😂DadeqWatu wa mikoani wapo serious na nyege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wa mikoani wapo serious na nyege
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah ila watu lolMarehemu sijui alimpeleka dogo kwa mpalange, mpaka kupelekea dogo kuchanganyikiwa kiasi hicho na mapenzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siku hizi wanapanga chumba mtaani wanaishi kama mke na mume vile..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaahHili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".
Jamii yetu inapaswa kubadilika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahGuilty consciousness ni noma.... vijana wengi wanadhani kuua ni kazi ngumu, wengine vimeo, kibao kimoja, kamata shingo, mtu kakata moto. Unabaki unatoa macho, unadhani anatania kumbe ni kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mitoto ya mikoani inasoma kuanzia la kwanza hadi form six bila kuonja papuchi. Papuchi wanazikutia chuo, ndio madhara yake haya.
Sisi hukuTemeke Mikoroshini mapenzi tumeanzia darasa la pili. Papuchi zote tunazifahamu!
Aliyenyongwa ni mwanamke.Kumbuka aliye nyongwa ni mwanaume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya chuo hayo,Wazazi hasa WA kike wangekuwa wanajua wamepeleka watoto kuolewa na si kusoma wangetumia hizo pesa Kwa kazi nyingine, ni aibu robo tatu wameolewa na kuishi kinyumba na wanafunzi wenzao wachache Sana watu Baki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaacha mbususu zote mtaan unaenda olewa jela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahahahahaha nimecheka alafu mwanamke mwenyewe alomsababishia majanga ndio huyo ? aisee watu wa mikoani hawapo serious yan huyo ndio akupe kesi ya murderer aisee acha kabisa
Kumbe yeye ilitakiwa asepe mazima na kutorokea mbali.Yaaani nilichogundua there is no perfect murder. Sijui huwa inakuwaje unakamatwa tuu. Sasa ukiwaza ni kitu gani kilimfanya atume msg huwezi elewa.