Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

Nafahamu
Tumaini, RUCU na MUCE,

Hicho cha Iringa kinamilikiwa na nani?
Tumaini iringa saizi sio tena chuo kishiriki cha tumaini ndo maana kinaitwa iringa university zamani tumaini
 
Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu Cha Iringa Bi Petronel Mwanisawa (21) ameuawa kwa kunyongwa na Mpenzi wake ambaye pia ni Mwanafunzi wa mwaka wa pili Chuoni hapo

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa Juma Bwire amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kwamba wanamshikilia mtuhumiwa Mr Prudence Patrick (22)

Tukio hilo la kusikitisha limetokea maeneo ya Kihesa Iringa na mtuhumiwa alikamatwa njia ya Dodoma akijaribu kutoroka

MCL
Asante mkuu. Na pongezi kubwa sana kwako. Kuna watu uandishi bado sifuri kabisa.
 
hivi watoto tukiwanyima simu za mkononi inaweza ikasaidia ?
hivi watoto tukiwanyima simu za mkononi inaweza ikasaidia ?
Tatizo sio simu , tatizo ni malezi.
Usfikiri wazazi wanapoanza kuzisingizia smartphone ukawaamini.. hzio ni sababu tu wanazitafuta baada ya kushindwa kulea watoto wao kwa maadili.
 
Familia ya marehemu sijui wapo kwenye hali gani hivi sasa.

Nawapa pole
 
Hili neno, "mapenzi", linakosewa sana matumizi yake. Mapenzi ni kati ya wanandoa tu, nje ya hapo siyo mapenzi bali ni, "zinaa na uasherati".

Jamii yetu inapaswa kubadilika, mfano, kichwa cha habari hii kilipaswa kusomeka hivi; "MWANAFUNZI WA MWAKA WA PILI AMNYONGA MWASHERATI MWENZAKE".
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaah
 
Guilty consciousness ni noma.... vijana wengi wanadhani kuua ni kazi ngumu, wengine vimeo, kibao kimoja, kamata shingo, mtu kakata moto. Unabaki unatoa macho, unadhani anatania kumbe ni kweli.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Mitoto ya mikoani inasoma kuanzia la kwanza hadi form six bila kuonja papuchi. Papuchi wanazikutia chuo, ndio madhara yake haya.
Sisi hukuTemeke Mikoroshini mapenzi tumeanzia darasa la pili. Papuchi zote tunazifahamu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wazazi hasa WA kike wangekuwa wanajua wamepeleka watoto kuolewa na si kusoma wangetumia hizo pesa Kwa kazi nyingine, ni aibu robo tatu wameolewa na kuishi kinyumba na wanafunzi wenzao wachache Sana watu Baki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mambo ya chuo hayo,
 
Back
Top Bottom