Iringa: Mwanafunzi wa Mwaka wa pili amnyonga mpenziwe wa mwaka wa pili na kutuma ujumbe kwa Wazazi wa Marehemu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kucharazwa bakora, hukuvitafuta hivyo vitoto vikupunguzie machungu? Daaaah
 
Wahehe bwana sijuhi walimkosea nini Mungu..!!kuna jamaa alijiua pale UDSM baada ya kufeli kozi.

Inabidi tufanye ibada ya kitaifa kuwaombea wahehe ,pepo la kuua na kujiua liwatoke[emoji23][emoji23]
Ali sup au disco kabisa? [emoji23][emoji23][emoji23] mweeeeh
 
Mapenzi kwenye umri mdogo huwa ni hatari sana,hasa kunapotokea kusalitiana...
ni ujinga tu mkuu, mimi nilikuwa na girlfreand wa kwanza nikiwa la 7, na nilikuwa na akili tosha, singeua saabu amenisaliti, namuacha tu, sema ni upungufu wa akili kwa hiki kizazi
 
Siku hizi wanapanga chumba mtaani wanaishi kama mke na mume vile..
mimi kwa maoni yangu hao watoto hakuna cha kusoma, yaani unakuta wanakaa chumba moja kaa wife na hubby, watasoma lini, na ndio sababu siku hizi wanamaliza vyuo na hauwezi kuwapa ajira, nimehoji kadhaa ambao wako na degrees na unakuta kuna ile tunaita MISMATCH, between kile kiko kwa karatasi yaani hio degree na kile kiko kwa kichwa cha huyu ambae ako na hiyo degree kwa karatasi, kazi kweli, ndio wanakaa miaka wakiwa mitaani, kazi ni ngono na mambo kaa hayo huko chuoni
 
Mapenzi kwenye umri mdogo huwa ni hatari sana,hasa kunapotokea kusalitiana...
Kweli asee...mi mwenyewe almanusura niuliwe sitakuja kusahau[emoji22]

Nilipigwa mimbata, mangumi, mateke, mwisho kabisa nikatundikwa darini[emoji24][emoji24]

Sema yule bwege manina zake, japo now kakua sijui kama anaendeleza huo wivu wa kishamba



Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Acha watu wa enjoy life bhana, ila hii ni ajari kazini. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kheeeeeeh ilkuaje dea? Hebu nigawie huo ubuyu na mie.
 
Sawa kabisa, tunakosea sana kwa kuupamba ubaya kwa jina zuri. Hao hawakuwa na mapenzi la sivyo wasingeanza kuuana!
 
Itakuwa we ni lihandsome balaa[emoji16][emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…