cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] baada ya kucharazwa bakora, hukuvitafuta hivyo vitoto vikupunguzie machungu? DaaaahDah, umenikumbusha mbali sana. Wakati niko primary siku moja nimeitwa na mwalimu wa discipline, kufika nakutana na kesi; kuna vibinti viwili vimepigana kisa vinagombania [emoji15][emoji15][emoji15]. Nikabaki nashangaa maana nilikuwa sina hata interest nao. Teacher kageuza kibao, ugomvi wao ni kosa langu! Kulikuwa na walimu kama 6 mle ofisini, nilikula bakora balaa.
Mpaka leo nina alama mguuni ya kile kipigo cha ugomvi nisiojua umetokea wapi [emoji23][emoji23][emoji23]. Kushitaki home nilishindwa maana ingekuwa noma zaidi. Anyways, uswahilini mapenzi vitoto vinaanza vidogo, darasa la 4 vibinti vinalamba koni kuliko mama zao.