Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi
ni sawa, lakini unataka kuniaminisha kwamba it is ok polisi kutarget waandishi wa habari au makundi ya watu na sio kuprotect?Janjaweed, nimejibu kwenye post ya nyuma kidogo. Ni vema kusoma mwelekeo wa polisi kwa sasa. It is very likely polisi ina-target waandishi wa habari kama njia moja ya kuchonganisha wana habari na CHADEMA na pia kufanya waandishi wa habari waanze kuindika vibaya CHADEMA.
Nimepitia hii link Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima inaelekea polisi wako kwenye kazi moja tu - to kill.
Channel 10 wanaonyesha live!!Kamanda wa Polisi Michael Kamuhanda,anajibu dry!!Anaulizwa unajua aliyekufa ni nani?anasema bado hajajua ndio alikuwa anenda Mortuary!!
Janjaweed, nimejibu kwenye post ya nyuma kidogo. Ni vema kusoma mwelekeo wa polisi kwa sasa. It is very likely polisi ina-target waandishi wa habari kama njia moja ya kuchonganisha wana habari na CHADEMA na pia kufanya waandishi wa habari waanze kuindika vibaya CHADEMA.
Nimepitia hii link Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima inaelekea polisi wako kwenye kazi moja tu - to kill.
Chadema ni chama cha mauaji viongozi wake wawekwe ndani haraka iwezekanavyo
Habari zipo nyingi hata wewe hujui kilichotokea kuna wengine wanasema kapigwa bomu wengine risasi labda tuambie wewe habari ya uhakika.
ni sawa, lakini unataka kuniaminisha kwamba it is ok polisi kutarget waandishi wa habari au makundi ya watu na sio kuprotect?
Huo ndio MKAKATI ULIOPO. Jeshi la polisi linatumika vibaya. NI HATARI SANA!
Hivi wewe una akili timamu kweliChadema ni chama cha mauaji viongozi wake wawekwe ndani haraka iwezekanavyo
hahahahaaa,,,,mdau umenikumbusha udsm 2009,,,jamaa walikua wanayakung'uta hadi kwenye makazi ya wanafunz,hall I,II,iii na IV,,,,,
ILA KWA SASA NAONA POLISI WAPO FASTA NA ROHO ZETU,,,,,SIJUI HAWA WA LOTOKA DEPO JUZI
Chadema ni chama cha mauaji viongozi wake wawekwe ndani haraka iwezekanavyo
Nashauri waandishi wa habari muungane na wamiliki wa vyombo vya habari msiandike kabisa habari za Wizara ya Mambo ya ndani na zile za SSM. Kweli kifo hiki hakikuwa cha lazima, tear gas zilitosha tu kuwakimbiza hao CDM. Ogopeni damu, polisi, hizo damu zitawalilia. Mtalaanika. Naogopa mno kifo sembuse kuua. So sad.