TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi

RIP Shujaa, amefia katika kazi yake. Lakini hali hii itaendelea hadi lini?
 
Hivi hawa polisi wana kitu gani na chadema? Kilichotokea leo iringa sio cha kibinadamu na hawa polisi inaonekana wanaongozwa kikoloni. Hawana walijualo. Mola tuokoe!
 
Chadema ni chama cha mauaji viongozi wake wawekwe ndani haraka iwezekanavyo
 
Janjaweed, nimejibu kwenye post ya nyuma kidogo. Ni vema kusoma mwelekeo wa polisi kwa sasa. It is very likely polisi ina-target waandishi wa habari kama njia moja ya kuchonganisha wana habari na CHADEMA na pia kufanya waandishi wa habari waanze kuindika vibaya CHADEMA.

Nimepitia hii link Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima inaelekea polisi wako kwenye kazi moja tu - to kill.
ni sawa, lakini unataka kuniaminisha kwamba it is ok polisi kutarget waandishi wa habari au makundi ya watu na sio kuprotect?
 
Wadau nimekutana na Hiace leo na magari binafsi yamejaza wanachama wa ccm sinza sijui walikuwa wanakwenda wapi, kwani huku sensa hakuna?
 
Kuna habari ya moto hv punde kuwa Mwandishi wa Habari wa Country FM ya Iringa Mjini amefariki dunia jioni ya leo kufuatia kupigwa risasi kwenye mkutano wa CHADEMA, nje ya mji wa Mafinga mahala panapoitwa Nyololo. Hakuna mamlaka za kiserikali zilizothibitisha hilo,zaidi ya Wanahabari kupeana taarifa kwa text.
 
Channel 10 wanaonyesha live!!Kamanda wa Polisi Michael Kamuhanda,anajibu dry!!Anaulizwa unajua aliyekufa ni nani?anasema bado hajajua ndio alikuwa anenda Mortuary!!

nao wamezidi kujipendekeza kwa polisi wao,,,si wana kipindi cha kualika polisi hapo,,,,,,
 
Janjaweed, nimejibu kwenye post ya nyuma kidogo. Ni vema kusoma mwelekeo wa polisi kwa sasa. It is very likely polisi ina-target waandishi wa habari kama njia moja ya kuchonganisha wana habari na CHADEMA na pia kufanya waandishi wa habari waanze kuindika vibaya CHADEMA.

Nimepitia hii link Francis Godwin Mzee Wa Matukio Daima inaelekea polisi wako kwenye kazi moja tu - to kill.

Huo ndio MKAKATI ULIOPO. Jeshi la polisi linatumika vibaya. NI HATARI SANA!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Tufike mahali tuamini kuwa Magamba hawawezi kuachia nchi bila vita sasawananchi tuingie barabarani kuing'oa ccm watu wetu watakwisha wakuu.
 
Habari zipo nyingi hata wewe hujui kilichotokea kuna wengine wanasema kapigwa bomu wengine risasi labda tuambie wewe habari ya uhakika.

kapigwa na gurunet.....
 
ni sawa, lakini unataka kuniaminisha kwamba it is ok polisi kutarget waandishi wa habari au makundi ya watu na sio kuprotect?

Nadhani bado hujanielewa. Soma taratibu nilichoandika. Kwa muda polisi wamekuwa wanaua raia (in general) lakini sasa wanaanza kugeukia waandishi wa habari. Na hapa ndipo hali inazidi kuwa tete maana sio tu wanataka kuuwa raia, ila wanataka kuzuia hata taarifa za mauaji zisiandikwe - (kill wana habari).
 
Nashauri waandishi wa habari muungane na wamiliki wa vyombo vya habari msiandike kabisa habari za Wizara ya Mambo ya ndani na zile za SSM. Kweli kifo hiki hakikuwa cha lazima, tear gas zilitosha tu kuwakimbiza hao CDM. Ogopeni damu, polisi, hizo damu zitawalilia. Mtalaanika. Naogopa mno kifo sembuse kuua. So sad.
 
hii nayo watasema alichomwa na kisu cha kugemea ulanzi tumboni
 
Huo ndio MKAKATI ULIOPO. Jeshi la polisi linatumika vibaya. NI HATARI SANA!

watu wanataka umaarufu mdau,,,,,,polisi na chadema wote wanatafuta popularity,unadhan RPC HAPENDI KUPANDISHWA CHEO ZAID YA HIKO????NA HAO WATU WA CHADEMA PIA WAPO KAZINI,,,,,,,ILA RAIA WA KAWAIDA NDIO TARGET YAO,,,,,,,SIJAWAH KUSIKIA AU KUONA KIONGOZ WA CHADEMA AMEKWANGURIWA WALAU NA RISAS,WALA POLISI KUPIGWA HATA JIWE,TANGU ARUSHA,TARIME,MORO HADI LEO IRINGA,INA MAANA HAWA WANAJUANA,,,,,,POLIS N CHADEMA,ndo maana yule jamaa wa morogoro alisema SISI WENYE GWANDA WAMETUACHA WAMEENDA KUMUUA MTU ASOYEHUSIKA,REFER SINGIDA PIA
 
Chadema ni chama cha mauaji viongozi wake wawekwe ndani haraka iwezekanavyo
Hivi wewe una akili timamu kweli
Mwambie baba yako kuwa tumechoka na tunawaondoa.
Mwandishi kauwawa na polisi wewe unasema chadema.
Nyie @?:%*..nzi mna muda mchache sana uliobaki
 
hahahahaaa,,,,mdau umenikumbusha udsm 2009,,,jamaa walikua wanayakung'uta hadi kwenye makazi ya wanafunz,hall I,II,iii na IV,,,,,
ILA KWA SASA NAONA POLISI WAPO FASTA NA ROHO ZETU,,,,,SIJUI HAWA WA LOTOKA DEPO JUZI

roho mbaya tu zao! hawana lolote, ni ufinyu wa akili tu ndo unawasumbua wanajua wakifanya ivyo wataonnekana wachapakazi, kumbe ni wachapakazi kwa binaadamu bali ni wafungwa kwenye gereza la mungu! hawana elimu hawa jamaa hata kidogo, mana kama wangekuwa na elimu,mafunzo,nidhamu na uzalendo sizani kama wangeyafanya haya mana hata kazi yao na majukumu yao hayawaruhusu kuyafanya haya aisee!na hawafundishwi haya sasa sijui huwa vichwa vyao vigumu darasani! yani sasa ndo nazidi kuamini kuwa ukifeli au shule ikikushinda ndo mtu unaenda upolisi
 
Namshukuru Mungu, katika mkutano wa hadhara Mwanza, umemalizika salama na watu kurudi kwao kwa amani kabisa. Sina hakika kama walikuwa na kibari
 
Nashauri waandishi wa habari muungane na wamiliki wa vyombo vya habari msiandike kabisa habari za Wizara ya Mambo ya ndani na zile za SSM. Kweli kifo hiki hakikuwa cha lazima, tear gas zilitosha tu kuwakimbiza hao CDM. Ogopeni damu, polisi, hizo damu zitawalilia. Mtalaanika. Naogopa mno kifo sembuse kuua. So sad.

unazungumzia waandish wa habari wa nchi gani wewe????hebu toa ufafanuz???kama ni tanzania hilo usilitegemee
 
Back
Top Bottom