Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
cheki kamanda wa iringa hata kifungo cha kati hakifungi afu hanatoa maagizo feki siku zinahesabiwaNamsikitikia sana huyu RPC na kikundi chake. Akumbuke Makaburu hawakuwahi kufikiria kuwa watatawaliwa na waafrika.
Moi hakuwahi kufikiria kuwa kuna siku atarudi mtaani na kuwa mwuuza magazeti.
Kuwa kuna siku Gadafi atakufa na kuzikwa kama mbwa.....
Hata akifariki salama kwa huyo aliyetoa roho ya Mwandishi wetu.,.... Kizazi chake kitahukumiwa na damu ya huyu kamanda. Mungu amlaze mahali pema peponi. Amen
Wakiwaarisha polisi waue raia wasiokuwa na hatia.M4C imeanzishwa kwaajili ya kazi moja tu,kuipeleka hii nchi kwenye vita.
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu
Hivi kwa nini Dr Slaa na genge la wahuni wenzake hawakamatwi na kuwekwa korokoroni?
Si majulikana kwa kutukana na nani asiyejuwa kuwa mnauwa? lakini naona sasa mnajipalilia mkaa wenyewe. Damu za watu hazipotei bure. Tumewashtukia.
Iweje ajeruhiwe Polisi na afe Mwandishi kwa risasi? Hao ni chadema tu hakuna mwingine.
Nasema chadema si chama cha siasa na hata bendera yao inaashiria umwagaji damu.
Rest in Peace Daudi Mwangosi.
Hawa polisi wetu hatuwaelewi kwani bomu la machozi linaweza kumuua mtu au wametumia silaha za moto? Tunaomba tupewe taarifa kamili inaonekana polisi wamezoea kuua na kila mara inapotokea hakuna taarifa yoyote ya maana au kufukuzwa kazi kwa polisi aliyehusika. IGP mwema kuwa makini na vijana wako wabakuharibia.
But all in all hawa chadema hawasikii na wamezoea kutoa watu kafara manake ni juzi tu amekufa mtu moro na leo iringa. Kwani hawa cdm wangesimama mpaka sensa ikaisha wangekupukiwa nini? Cdm wauaji wakubwa lawana sio kwa polisi tu hata kwao wenyewe.
Huyu slaa na mwenzie mbowe ndio viongozi wakuu wa cdm na wameshindwa kabisa kuendesha chama kishawapwaya. Kama wao ndio wangeongoza nchi lets say wao ndio watawala jambo ambalo haliwezi kutokea hata wakiua watanzania wote wangekubali kuona watu hawawatii kama wao wanavyodharau serikali iliyoko madarakani?
Cdm kilikuwa ni chama changu nakipenda lakini siku zunavyoenda nimekichoka na kadi yangu ya uanachama nimeichana, wasipoangalia kama wataendelea kufikiri kwa kutumia masaburi basi hata uchaguzi ujao wataambulia majimbo machache sana.
Alikuwa anaandika habari za masaburi yako!Na yeye alikua anafanya nn huko?
Hivi kwa nini Dr Slaa na genge la wahuni wenzake hawakamatwi na kuwekwa korokoroni?
sio siri chadema hata kama hamhusiki ni rahisi kabisa kuunganisha hizi vurugu na haya maandamano kumbukeni kuwa watanzania wengi hawajaelimika na msifananishe hata kidogo maandaman yenu na yale yaliyotokea kule Misri kwa sababu zifuatazo:
. maandamano ya misri yalikuwa yanaongozwa na wananchi wa kati( middle class)
.maandamano ya cdm yanahusu vijana ambao hawajui watapata nini siku ya mwisho