TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu
 
There are currently 1988 users browsing this thread. (478 members and 1510 guests)
 
Mkutano mwingine ni zamu ya Slaa,haiwezekani asababishe yote haya halafu yeye anabaki pembeni wakati wananchi wanakufa. Huyu mzee anatakiwa apelekwe pale mnazi mmoja akachapwe viboko kama mtoto wa shule. Labda akili zitamrudi

umetumwa na ccm wewe kukoroga wanamageuzi hapa jf .utashindwa pepo mchafu wewe na waliokutuma
 
Huyu Slaa nitakuja kumvizia nimlipue kibao kama alich pewa mwinyi.
 
Chadema siwaamini kabisa, wanaweza kuuwa wao wawasingizie askari.

Tumeona Morogoro na sasa Iringa.

Hiki si chama cha siasa na ni chama cha fujo hakifai kabisa kuwepo. Ni wakati muafaka kifutwe kabisa.
Kweli wewe ni makalio
 
daah mungu ilaze roho ya kakayetu mpendwa mwakosi,tunajua kifo hiki nimapenzi ya polisi na si mungu.mungu naomba umpoke muja wako na umsamehe ktk yote aliyokukose.roho inauma sana.
 
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu

Ningeweza kukutukana tusi ambalo hutalisahau maisha yako yote ningefanya hivyo. Hata hivyo, kuwa shabiki wa ccm ni zaidi ya tusi nililotaka kukutukana!!!!!!!
 
IMG_1878.JPG



:A S-confused1:The Victim:A S-confused1:

Tumejinga kwa lolote asema kamanda wa polisi kuwa si Chadema pekee hata CCM na vyama vyote marufuku mikutano wanaruhusiwa kufanya vikao vya ndani ili kupisha zoezi la sensa hadi jumamosi litakapomalizika

577101_377757872294889_183352309_n.jpg


Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Iringa (IPC),
Daudi Mwangosi, ambaye polisi wamemwua kijijini Nyororo Iringa




Namsikitikia sana huyu RPC na kikundi chake. Akumbuke Makaburu hawakuwahi kufikiria kuwa watatawaliwa na waafrika.


Moi hakuwahi kufikiria kuwa kuna siku atarudi mtaani na kuwa mwuuza magazeti.


Kuwa kuna siku Gadafi atakufa na kuzikwa kama mbwa.....


Hata akifariki salama kwa huyo aliyetoa roho ya Mwandishi wetu.,.... Kizazi chake kitahukumiwa na damu ya huyu kamanda. Mungu amlaze mahali pema peponi. Amen
 
Iweje ajeruhiwe Polisi na afe Mwandishi kwa risasi? Hao ni chadema tu hakuna mwingine.

Nasema chadema si chama cha siasa na hata bendera yao inaashiria umwagaji damu.

mbona wewe mtu huelewi nimekwambia wewe ni makalio tu
 
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu
siku zenu zinahesabiwa ipo siku tu we jifanye haulewi na ziba masikio kwa pamba,
 
Mkutano mwingine ni zamu ya Slaa,haiwezekani asababishe yote haya halafu yeye anabaki pembeni wakati wananchi wanakufa. Huyu mzee anatakiwa apelekwe pale mnazi mmoja akachapwe viboko kama mtoto wa shule. Labda akili zitamrudi

Sijawahi kupata ban, kama ni kupewa acha nipewe tu kwani huu uhuru umezidi..NY*KO yako.
 
Kweli wewe ni makalio

Si majulikana kwa kutukana na nani asiyejuwa kuwa mnauwa? lakini naona sasa mnajipalilia mkaa wenyewe. Damu za watu hazipotei bure. Tumewashtukia.
 
we mjinga,walioua ni chadema acha kupotosha,mwanga nini?

dada jaribu kua mungwana hata kama umeyumwa propaganda,. Angalia muda unaochekelea hiki kitu ni wangapi wanahuzuni,.? Naomba kua mstaarabu basi kwenye maisha ya watu
 
Niliwahi kusema kuwa Tanzania tumekalia bomu ambalo halieleweki kama ni multifunctional or functional likisubiri joto kama litafanya lilipuke ama lizime. Tupo kulipuka wakati wowote sasa! Tumefika kubaya... Hakuna usalama tena, mtu yeyote aweza kufa wakati wowote ule! Inasikitisha...

as days goes on hali inazidi kuwa mbaya,polisi kuua raia imekua ni jambo la kawaida sana,utasikia wameua waandamanaji walikuwa wanaelekea mgodini,kesho utasikia mtu mmoja kauwawa ktk maandamano ya CDM,hivi mauaji haya mpaka lini?kule CCP silabasi wanayofundishiwa polisi wetu inakipengele kinachohusu haki za raia/binadamu?hivi ni kweli polisi wetu wameishiwa mbinu ya kudhibiti haya maandamano bila ya kupoteza uhai wa binadamu?ni nini role ya civil society ktk hali km hii?hivi serikali hii dhalimu haiwezi kushtakiwa ktk mahakama ya kimataifa uhalifu wa kibinadamu ktk mazingira km haya ingali ipo madarakani?au ni mpaka yatokee mauaji ya watu wengi zaidi,manake kwa sasa hivi tunakoelekea kunaweza kutokea janga la kibinadamu.
 
Chadema siwaamini kabisa, wanaweza kuuwa wao wawasingizie askari.

Tumeona Morogoro na sasa Iringa.

Hiki si chama cha siasa na ni chama cha fujo hakifai kabisa kuwepo. Ni wakati muafaka kifutwe kabisa.

Kumwagika damu kwa raia wasio na hati,migomo,umaskini,kupanda kwa gharama za maisha na hata vurugu za chaguzi ndani ya Uvccm kinondoni na temeke yote haya ni CDM kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi abebe
 
Let's think, tuwasaidie wakuu wetu, nini kifanyike?
Kwanza tuhakikishe kuna ulinzi kwa wananchi,polisi hiyo kazi hawaiwezi tena,na hatuwezi kulivunja hilo jeshi kwa sasa.Kuna thread nimeanzisha yenye kukaribisha maoni ya ni kwa vipi wananchi wajilinde.
 
Jamanii msimlaumu rais wetu JK, ilaumuni na cdm ambayo wameambiwa wasubiri hawakusikia.
Kujerukiwa kwa polisi hakumaanishi cdm ndio wameua polisi wanaweza hata kumtoa mwezao kafara ili watimize lengo lao au ilikuwa bahati mbaya. Tusubiri taarifa rasmi.
Napata tabu na kauli aliyoitoa slaa siku za nyuma kuwa nchi haitotawalika naona ndio cdm wanatuonyesha kwa kuua.
Cdm zeeeeeeeee hamtafanikiwa kamwe
 
Back
Top Bottom