TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Nilizoea kuona na kusikia kunako tv waandishi kuuliwa kule mashariki ya kati na mbali sasa imehamia kwetu tanzania, nadhani neno lililotamkwa bungeni DHAIFU limethibika bila mashaka yoyote. Yeyote aliedhaifu hukosa mbinu mbadala kupambana na kutatua matatizo bali akili yake huishia kuuwa, kutesa, kutisha na kamatakamata.

Mfano
-Idd amin
-Gadhaf
-Gbagbo
-Asad
Na wengineo wengi

Mwisho wao huwa mbaya naamini mwisho wa kikwete, mwema na sasa nchimbi hautakuwa mzuri, heri kwake nahoza kuepushwa kikombe hicho maana anaamani moyoni mwake bali Emmanuel Nchimbi lazima anajuta kupewa wizara hiyo.
 
Serikali ya ccm ni sikivu na inawajali wananchi wake...moja kati ya kauli zinazonichefua kila mara!
 
Inasikitisha sana hii nchi tunakoelekea.
 
Chadema walianza na mauaji iramba wakaendelea morogoro,na sasa wameua iringa wataendelea mikoa mingine kadri watakavohitaji kumwaga damu
 
Mlimani TV breaking news wametangaza kwa ufasaha sana ameohojiwa mwandishi wa mwananchi sanga ameleza full kilichotokea, amesema polisi walimkamata wakampiga sana na na ilipokosa nguvu polisi mmoja alimlenga kwa na kumshuti kwa bomu ambalo lilimsambaratisha utumbo kule kichwa kule na kadhalika na hata walipokuwa wanachukua mwili wake walichukuwa dk 15 kukusanya mwili wake.
alipigwa bomu gani? La machozi au RPG?
 
Chadema siwaamini kabisa, wanaweza kuuwa wao wawasingizie askari.

Tumeona Morogoro na sasa Iringa.

Hiki si chama cha siasa na ni chama cha fujo hakifai kabisa kuwepo. Ni wakati muafaka kifutwe kabisa.
 
Mlimani TV breaking news wametangaza kwa ufasaha sana ameohojiwa mwandishi wa mwananchi sanga ameleza full kilichotokea, amesema polisi walimkamata wakampiga sana na na ilipokosa nguvu polisi mmoja alimlenga kwa na kumshuti kwa bomu ambalo lilimsambaratisha utumbo kule kichwa kule na kadhalika na hata walipokuwa wanachukua mwili wake walichukuwa dk 15 kukusanya mwili wake.

Haya ni maelekezo maalum toka kwa wakuu wao,ila watakuja kujibu tu hata kama ni 2020,waache waue watakavyo,nao vifo vyao vitakua vya fedhea!R.I.P Daud
 
Hivi nchi hii hatuwezi kuwa na umoja na kuamua kuwa jeshi lote la polisi livunjwe?
 
Rest in Peace Daudi Mwangosi.
Hawa polisi wetu hatuwaelewi kwani bomu la machozi linaweza kumuua mtu au wametumia silaha za moto? Tunaomba tupewe taarifa kamili inaonekana polisi wamezoea kuua na kila mara inapotokea hakuna taarifa yoyote ya maana au kufukuzwa kazi kwa polisi aliyehusika. IGP mwema kuwa makini na vijana wako wabakuharibia.
But all in all hawa chadema hawasikii na wamezoea kutoa watu kafara manake ni juzi tu amekufa mtu moro na leo iringa. Kwani hawa cdm wangesimama mpaka sensa ikaisha wangekupukiwa nini? Cdm wauaji wakubwa lawana sio kwa polisi tu hata kwao wenyewe.
Huyu slaa na mwenzie mbowe ndio viongozi wakuu wa cdm na wameshindwa kabisa kuendesha chama kishawapwaya. Kama wao ndio wangeongoza nchi lets say wao ndio watawala jambo ambalo haliwezi kutokea hata wakiua watanzania wote wangekubali kuona watu hawawatii kama wao wanavyodharau serikali iliyoko madarakani?
Cdm kilikuwa ni chama changu nakipenda lakini siku zunavyoenda nimekichoka na kadi yangu ya uanachama nimeichana, wasipoangalia kama wataendelea kufikiri kwa kutumia masaburi basi hata uchaguzi ujao wataambulia majimbo machache sana.
 
Very poor reasoning.

Wakati wewe na familia yako mnatafuta reasoning, familia ya Mwangosi imepata yatima na mjane huku Josephine na Junior wakiendelea kula bata kwenye jumba walilojengewa na chama.
 
we mjinga,walioua ni chadema acha kupotosha,mwanga nini?

t2015ccm, Tumefikia hatua ya kutukanana hapa jamii forums au tunashindana kwa hoja? Wataka ni-report that you abuse me with this evidence upate ban? Sikujui na sijawahi kufikia hatua ya matusi unayotoa hapa. You are far away from the situation we are discussing right now. Please cool down man, be gentleman/ smart ada polite, that's how educated people do.
 
Iweje ajeruhiwe Polisi na afe Mwandishi kwa risasi? Hao ni chadema tu hakuna mwingine.

Nasema chadema si chama cha siasa na hata bendera yao inaashiria umwagaji damu.
 
Rest in Peace Daudi Mwangosi.
Hawa polisi wetu hatuwaelewi kwani bomu la machozi linaweza kumuua mtu au wametumia silaha za moto? Tunaomba tupewe taarifa kamili inaonekana polisi wamezoea kuua na kila mara inapotokea hakuna taarifa yoyote ya maana au kufukuzwa kazi kwa polisi aliyehusika. IGP mwema kuwa makini na vijana wako wabakuharibia.
But all in all hawa chadema hawasikii na wamezoea kutoa watu kafara manake ni juzi tu amekufa mtu moro na leo iringa. Kwani hawa cdm wangesimama mpaka sensa ikaisha wangekupukiwa nini? Cdm wauaji wakubwa lawana sio kwa polisi tu hata kwao wenyewe.
Huyu slaa na mwenzie mbowe ndio viongozi wakuu wa cdm na wameshindwa kabisa kuendesha chama kishawapwaya. Kama wao ndio wangeongoza nchi lets say wao ndio watawala jambo ambalo haliwezi kutokea hata wakiua watanzania wote wangekubali kuona watu hawawatii kama wao wanavyodharau serikali iliyoko madarakani?
Cdm kilikuwa ni chama changu nakipenda lakini siku zunavyoenda nimekichoka na kadi yangu ya uanachama nimeichana, wasipoangalia kama wataendelea kufikiri kwa kutumia masaburi basi hata uchaguzi ujao wataambulia majimbo machache sana.

Kilaza wewe......chadema hakunaga wajinga kama wewe!
 
Chadema siwaamini kabisa, wanaweza kuuwa wao wawasingizie askari.

Tumeona Morogoro na sasa Iringa.

Hiki si chama cha siasa na ni chama cha fujo hakifai kabisa kuwepo. Ni wakati muafaka kifutwe kabisa.
M4C imeanzishwa kwaajili ya kazi moja tu,kuipeleka hii nchi kwenye vita.
 
Iweje ajeruhiwe Polisi na afe Mwandishi kwa risasi? Hao ni chadema tu hakuna mwingine.

Nasema chadema si chama cha siasa na hata bendera yao inaashiria umwagaji damu.

Yaani wewe kama sio mchawi basi unatoka kwenye familia ya kichawi!
 
Nilizoea kuona na kusikia kunako tv waandishi kuuliwa kule mashariki ya kati na mbali sasa imehamia kwetu tanzania, nadhani neno lililotamkwa bungeni DHAIFU limethibika bila mashaka yoyote. Yeyote aliedhaifu hukosa mbinu mbadala kupambana na kutatua matatizo bali akili yake huishia kuuwa, kutesa, kutisha na kamatakamata.

Mfano
-Idd amin
-Gadhaf
-Gbagbo
-Asad
Na wengineo wengi

Mwisho wao huwa mbaya naamini mwisho wa kikwete, mwema na sasa nchimbi hautakuwa mzuri, heri kwake nahoza kuepushwa kikombe hicho maana anaamani moyoni mwake bali Emmanuel Nchimbi lazima anajuta kupewa wizara hiyo.

Hapo kwenye bold, Haumtendei haki mpiganaji wangu na Jemedari wa Afrika.! Mungu akuenzi huko ulipo Kamanda wamgu wa ukweli Muammar Gadaffih,
 
Back
Top Bottom