Nilizoea kuona na kusikia kunako tv waandishi kuuliwa kule mashariki ya kati na mbali sasa imehamia kwetu tanzania, nadhani neno lililotamkwa bungeni DHAIFU limethibika bila mashaka yoyote. Yeyote aliedhaifu hukosa mbinu mbadala kupambana na kutatua matatizo bali akili yake huishia kuuwa, kutesa, kutisha na kamatakamata.
Mfano
-Idd amin
-Gadhaf
-Gbagbo
-Asad
Na wengineo wengi
Mwisho wao huwa mbaya naamini mwisho wa kikwete, mwema na sasa nchimbi hautakuwa mzuri, heri kwake nahoza kuepushwa kikombe hicho maana anaamani moyoni mwake bali Emmanuel Nchimbi lazima anajuta kupewa wizara hiyo.