zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Sikulaumu kwa sababu hujui unachokiongea hata...mtu mzima ovyo
Wewe unakijuwa unachoongea? kila wanapokusanyika chadema. kifo au vifo vinatokea. Sasa hicho ni chama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikulaumu kwa sababu hujui unachokiongea hata...mtu mzima ovyo
ulimaanisha wanauwa siyo?
nyie lazimisheni maandamano lakini hayo maandamano ndio mnatafuta kutoweka kwenye ramani ya vyama vya siasa, iko wapi cuf ngunguri, wapi Nccr , kimsingi hiyo huruma mnayotaka kutoka kwa wananchi hamtaipata kwa staili ya maandamano
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi
Nakuhakikishia kauliwa na chadema.
Na yeye alikua anafanya nn huko?
Unahuzunisha kwa akili finyu na unatia kinyaa!!! crazy idiot!!Nakuhakikishia kauliwa na chadema.
Chadema siwaamini kabisa, wanaweza kuuwa wao wawasingizie askari.
Tumeona Morogoro na sasa Iringa.
Hiki si chama cha siasa na ni chama cha fujo hakifai kabisa kuwepo. Ni wakati muafaka kifutwe kabisa.
Ndio maana huwa nasema siku zote siwezi ku reason na wewe zomba. Huenda wapo wanao kuelewa humu binafsi sijawahi kukuelewa. Uko tayari kuonekana kama punguani ili mradi uitetee CCM au vyombo vya dola hata kama vimefanya udhalimu wa wazi dhidi ya raia. Unasikitisha sana. Damu ya Daudi Mwangosi haitapotea bure. Itawalilia nyie na vizazi vyenu.
Unahuzunisha kwa akili finyu na unatia kinyaa!!! crazy idiot!!