TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Sikulaumu kwa sababu hujui unachokiongea hata...mtu mzima ovyo

Wewe unakijuwa unachoongea? kila wanapokusanyika chadema. kifo au vifo vinatokea. Sasa hicho ni chama?
 
Nimepokea kwa mshtuko, masikitiko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Mwangosi. Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi..
 
Ilivyo kua Cuf waliita chama cha vurugu kisa...HAKI SAWA KWA WOTE Sasa NGUVU YA UMMA alafu munataka Mkifa tuseme R.I.P...! IVI.HAMFIKIRI NYINYI? MNATOREWA SADAKA WAJAMENI. DEMOCRACY NI SERIKARI YA WATU NA HAKUNA WATU WALIO KAMILIKA. HATA AJE NANI BADO ATAWADHULUMU ASIO WAPENDA. TO HELL MR SNUP
 
nyie lazimisheni maandamano lakini hayo maandamano ndio mnatafuta kutoweka kwenye ramani ya vyama vya siasa, iko wapi cuf ngunguri, wapi Nccr , kimsingi hiyo huruma mnayotaka kutoka kwa wananchi hamtaipata kwa staili ya maandamano

Mahhesabu yenu yamekwenda kombo kama mnadhani CDM itaondolewa kwenye sura ya nchi kama CUF na NCCR imekula kwenu maana siioni CCM ya mwaka 1995 ya kuibabaisha CDM.
 
Kichwa chako cha habari hakijakaa sawa. Hakukuwa na vurugu kati ya CDM na polisi. Polisi ndio walioanza vurugu na kumuua mwandishi ambae hakuwa na kosa!!
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi
 
Polisi Tanzania, mmechelewa sana. Ifike mahali mtambue kuwa akili za watu zimebadilika, saikolojia zao zimebadilika, hivyo na mahusiano ya kijamii nayo yamefuata mabadiliko. Jeshi hili kama halitafuata ( Na kimsingi halifuati) mabadiliko mtauishia kuuwa watu hovyo na hamtaishiwa lawama. Mabadiliko makubwa yanahitajika ikiwa ni pamoja na kuajiri wasomi wengi na sio kupeana vyeo tu ili mradi tu uwe na uzoefu na uswahiba na mtu fulani.

Saa ya mabadiliko ni sasa!
 
Does it mean you can not give an old dog new tricks? Mbona kama polisi wanachojua ni kupiga na kuua tu? Ndio mafunzo ya polisi yanavyowataka?
 
Polisi wameshindwa kusoma alama za nyakati....
Jeshi limejaa mambumbu na vilaza, hovyoooo!!!!!!!!!!!!
 
Nakuhakikishia kauliwa na chadema.

Ndio maana huwa nasema siku zote siwezi ku reason na wewe zomba. Huenda wapo wanao kuelewa humu binafsi sijawahi kukuelewa. Uko tayari kuonekana kama punguani ili mradi uitetee CCM au vyombo vya dola hata kama vimefanya udhalimu wa wazi dhidi ya raia. Unasikitisha sana. Damu ya Daudi Mwangosi haitapotea bure. Itawalilia nyie na vizazi vyenu.
 
Last edited by a moderator:
inauma kweli hadi sasa kama naota vile......

V
SENGEREMA
 
Hivi na mikusanyiko ya Mwenge wa Uhuru imepigwa marufuku????????????????????????????
 
Kama unawezo wa kufikiri vizuri lazima ugundue kuwa CCM kupitia Nape wana mkono wao kwenye hizi vurugu maana Nape alishasema mwenyewe kuwa cdm wamepanga kufanya vurugu ili aonekane alijua au nimtabiri kumbe walipanga kuifanyia vurugu cdm ili kuwaadaha wananchi.

Lakini cha ajabu kila mnapo jaribu kutaka kuaminisha wananchi kuwa cdm wanaleta vurugu, mwisho wasiku wanaumbuka na kujikuta wanabeba lawama za kuuwa!

Zomba yani matukio ya moro na iringa yamezidi kuonesha na kikivua chama chako mvua kwani ni wazi watu wanajua ccm wana mkono wao hapo na Shahidi wetu ni Nape!

Ccm wameamua kuanza kuuwa kwa kulitumia jeshi la polisi hili wananchi waogope mikutano ya wababe wao cdm lakini ndivyo mikutano inazidi kupata watu wengi kwani polisi wanasidia kuimaliza ccm na watu kujua ukweli!

Chadema siwaamini kabisa, wanaweza kuuwa wao wawasingizie askari.

Tumeona Morogoro na sasa Iringa.

Hiki si chama cha siasa na ni chama cha fujo hakifai kabisa kuwepo. Ni wakati muafaka kifutwe kabisa.
 
Ndio maana huwa nasema siku zote siwezi ku reason na wewe zomba. Huenda wapo wanao kuelewa humu binafsi sijawahi kukuelewa. Uko tayari kuonekana kama punguani ili mradi uitetee CCM au vyombo vya dola hata kama vimefanya udhalimu wa wazi dhidi ya raia. Unasikitisha sana. Damu ya Daudi Mwangosi haitapotea bure. Itawalilia nyie na vizazi vyenu.

Wewe unachokitetea ni nini? huoni kwa macho yako? husikii kwa masikio yako?

Unaambiwa kila wanapokwenda chadema kunatokea vifo! sababu?
 
Mnaongelea mwandishi kwanini hamuongelei polisi aliyeumizwa vibaya sana na hivi yuko mahututi?
 
kwani Tanzania hakuna vazi ambalo linamtambulisha mwanahabari akiwa ktk mazingira ya utata! kama vile VIKOTI vya PRESS, MEDIA au KITAMBULISHO KIKUBWA KIFUANI! polisi hawkumtambua hata wanasema aliekua anamtetea ilibidi yeye achukue zamana ya kumtambua na kuwajulisha wenzake kwamba huyu ni mwandishi wa habari! msininukuu vibaya sijamshutumu mtu yeyote wala chombo chochote! Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!
 
Back
Top Bottom