Nzenzu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 858
- 164
CHADEMA...tunaomba msitishe M4C.. Kiroho safi kabisa.
Tuache Unafiki.
Hii ni moja ya MALENGO YA MAUAJI MLIYOPANGA, CCM HAMNA HOJA MNATAFUTA AGENDA KWA KUFANYA MAUAJI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHADEMA...tunaomba msitishe M4C.. Kiroho safi kabisa.
Tuache Unafiki.
Kwel hii ni laana. Safar ni mwandish? Siku zile ni muuza magazet. Hapa tasnia ya habari ijiangalie.
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi
Dr Slaa aliposema nchi haitatawalika nilidhani ni jazba na hasira za kukosa urais ambao anauota siku zote,lakini sasa hivi ninapata picha kamili ya dhamira yake.Anatumia kila njia kuhalalisha ujambazi wake wa siasa kufikia malengo yake,shime watanzania tukatae siasa za aina hii, Dr Slaa ni Foday Sankoh mwengine anatoa kafara watu ili afanikiwe katika malengo yake.Nilishangaa kuona wanafanya party kwa mchungaji Msigwa baada ya mauaji ya Morogoro sitostaajabu sasa hivi akiwa anakunywa mvinyo kujipongeza kwa kifo cha Daudi Mwangosi.Roho za watanzania hawa zitakuandama popote uendako..
Ila ni sahihi kuchochea vurugu na kusababisha mauaji?Mkuu think twice before you say anything what you have said isnt correct as far as common sense is concerned.
nchi ikiingia vitani c.c.m watalumiwa kwa kuwatumia polisi kuzuia mikutano harali ya kichama. c.c.m munachochea hasira kwa raia halafu mukiua munaanza kusinhizia na kutoa uongo. polisi na jua hawataki haya isipokwa makamanda wamepewa maagizo wafanye hivyo. mskini polisi;
Habari zipo nyingi hata wewe hujui kilichotokea kuna wengine wanasema kapigwa bomu wengine risasi labda tuambie wewe habari ya uhakika.
Huyu Kamanda wa sasa wa Iringa NDIE YULE ALIYEONGOZA MAUAJI YA WABODA BODA SONGEA, MAUAJI NI JADI YAKE. JE HUO UMAARUFU HAUMTOSHI? TO HELL POLICCM!
alikuwa na cheo gani huko Songea kabla hajapelekwa Iringa?Huyu Kamanda wa sasa wa Iringa NDIE YULE ALIYEONGOZA MAUAJI YA WABODA BODA SONGEA, MAUAJI NI JADI YAKE. JE HUO UMAARUFU HAUMTOSHI? TO HELL POLICCM!
Mkuu,
mleta habari amesema amepigwa risasi na polisi, wee unadhani polisi hawajafundishwa shabaha kule CCP?
Nilidhani una kitu cha kuandika, acha ushabiki wa kishirikina. Kwa hiyo watoa kafara ni polisi si ndio?