TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

CHADEMA...tunaomba msitishe M4C.. Kiroho safi kabisa.
Tuache Unafiki.

Hii ni moja ya MALENGO YA MAUAJI MLIYOPANGA, CCM HAMNA HOJA MNATAFUTA AGENDA KWA KUFANYA MAUAJI.
 
Kwel hii ni laana. Safar ni mwandish? Siku zile ni muuza magazet. Hapa tasnia ya habari ijiangalie.

hao ni watani zao,,,umesahau vita ya polisi na Jerry muro,,,na kunyanyaswa kwa waandish wa habari na polisi kwenye kagame cup????
 
Mwwenyekiti na Chama cha Waandishi wa habari mkoa wa Iringa na mwandishi wa habari wa Channel 10 amepigwa risasi na polisi kwenye mkutano wa CHADEMA Mufindi

Naona sasa imefika hatua hv vyombo vya dola vinaua raia wasio na hatia jinsi vitakavyo,kwa kua si rais,waziri wala IGP anayekemea haya mauji yanayoendelea,huko tunapotaka kupelekwa tutafika tu!sijaona sababu ya msingi ya nguvu kubwa inayotumika katika kuwadhibiti cdm mpaka kusababisha mauji yasiyo na kichwa wala miguu,bad enough watawala wako kimya kabisa,au nchi haina uongozi?kwa ili ni wakati muafaka kwa waandishi na vyombo vya habari kuungana na kuonyesha nguvu ya kalamu kwa polisi na serikali dhidi ya udhalimu huu
 
Dr Slaa aliposema nchi haitatawalika nilidhani ni jazba na hasira za kukosa urais ambao anauota siku zote,lakini sasa hivi ninapata picha kamili ya dhamira yake.Anatumia kila njia kuhalalisha ujambazi wake wa siasa kufikia malengo yake,shime watanzania tukatae siasa za aina hii, Dr Slaa ni Foday Sankoh mwengine anatoa kafara watu ili afanikiwe katika malengo yake.Nilishangaa kuona wanafanya party kwa mchungaji Msigwa baada ya mauaji ya Morogoro sitostaajabu sasa hivi akiwa anakunywa mvinyo kujipongeza kwa kifo cha Daudi Mwangosi.Roho za watanzania hawa zitakuandama popote uendako..

Jaribu kutumia ubongo wako badala ya u-CCM. Aliyeuwa mwandishi wa habari ni dr. slaa au polisi waliotumwa na CCM?
 
Nimechoka na hii serikali dhalimu,sote tuamke na tuseme "sasa basi" .watatuonea hadi lini lakini!
 
nchi ikiingia vitani c.c.m watalumiwa kwa kuwatumia polisi kuzuia mikutano harali ya kichama. c.c.m munachochea hasira kwa raia halafu mukiua munaanza kusinhizia na kutoa uongo. polisi na jua hawataki haya isipokwa makamanda wamepewa maagizo wafanye hivyo. mskini polisi;

CCM watajuta 2015 kwani hatuta kuwa radhi kutumia ballot box, Tayari tutaandaa vijana wetu wataokwendwa JKT after 4m6 na ndipo hapo serkali hii dhalimu itakuwa imefika mwisho.
 
Habari zipo nyingi hata wewe hujui kilichotokea kuna wengine wanasema kapigwa bomu wengine risasi labda tuambie wewe habari ya uhakika.

Unataka kutetea nini wewe? Iwe risasi au bomu, ni polisi WAMEUA!
 
nakubari kuwa huu nimkakati wa ccm kuonyesha jamii kuwa M4C ni chanzo cha vifo na vurugu miongoni mwa jamii ili jamii ikichukie chama cha demokrasia na maendeleo.nashangaa kwanini ccm inaendelea na shughuli zake zake za kichama na polisi hawafanyi vurugu?na kwanini polisi hawaoni kuwa kuua watanzania wenzao si jambo jema jema?
 
Huyu Kamanda wa sasa wa Iringa NDIE YULE ALIYEONGOZA MAUAJI YA WABODA BODA SONGEA, MAUAJI NI JADI YAKE. JE HUO UMAARUFU HAUMTOSHI? TO HELL POLICCM!

afadhali mdau umenielewa nilichocomment hapa,kuna bidada hapa anaitwa Princess pango,hakunielewa kabisaaaa,,,,,,,,,huyu kamanda ni kama mkuu wa mkoa wa mbeya bwana kandoro,,,,kila apitako anaharibu
 
Huyu Kamanda wa sasa wa Iringa NDIE YULE ALIYEONGOZA MAUAJI YA WABODA BODA SONGEA, MAUAJI NI JADI YAKE. JE HUO UMAARUFU HAUMTOSHI? TO HELL POLICCM!
alikuwa na cheo gani huko Songea kabla hajapelekwa Iringa?
 
Nadhani chadema ifutwe ili amani ya kifisadi iwepo.nimechooka na mauaji ya plisi killa siku kwa kisingizio cha kutekelleza wajibu wao kama mkuu wao waziri wa mambo ya ndani alivyowatetea kwa issue ya morogoro .
 
Dalili ya mvua ni mawingu,............ panapofuka moshi zima moto chini
 
Ama kweli nimedhihirisha ya kwamba polisi wetu ni watumwa full wa chama tawala chama cha mafisadi.
 
Mkuu,
mleta habari amesema amepigwa risasi na polisi, wee unadhani polisi hawajafundishwa shabaha kule CCP?

Heshima yako mkuu Royals,

Kama nilivyoendelea kusikia kutoka kwa wengine pia waliochangia, naomba radhi kama nilikukwaza.

Mungu Ampumzishe mahali pema mwandishi wetu Daudi Mwangosi na Awape faraja wote walioguswa na msiba huu mzito.
Ninaamini ya kuwa kifo chake na vifo vya wengine wengi waliouawa na vyombo vya dola katika kutafuta haki ya wanyonge havitakuwa vya bure. Walioko madarakani wamejisahau, lakini ukweli unabaki pale pale.
Mwisho wa ccm ni huu. Udhalimu sasa basi. Hakuna katika historia duniani kote utawala ulioweza kuendelea baada ya kuanza kuwaua wananchi wasio na hatia ambao kosa lao tu ni kutetea haki za wanyonge!

Pumzika kwa Amani Daudi Mwangosi!
 
mahali popote yalipotokea maafa kwenye mikutano yoyote ujue polisi wa serikali walikuwepo....mikutano yote ambayo polisi hawakuivuruga hakuna hata mmoja aliye umia au kujeruhiwa achilia mbali kufa
 
Huu ni mkakati Maalum wa dola....kuwatishia wananchi waache kuhudhuria mikutano ya opereshenii sangara.....

Mkakati wa kiuwajii,kijinga, na kikatilii
 
Kisaikolojia CHADEMA HAWALIAMINI JESHI LA POLISI NA WANAAMINI KUA LINAKANDAMIZA DEMOKRASIA,,,,POLISI NAO(NADHAN TANGU WAPO DEPO-CCP) NAO WAMESHAFUNDISHWA KUWA CHADEMA NI CJAMA CHA VURUGU,sasa hawa jamaa wanapokutana lazima vurugu zitokeee,,,,kila mtu hamuamini na hampendi mwenzie,,,,mfano kupigwa kwa wale wabunge wa mwanza polisi si walikua wakiangalia tu,na vurugu za wafuasi wa ccm Singida polisi si walikua wakiangalia tuu,na ndo hivi itakavokua siku zijazo,,,,mnakumbuka kova alisemaje????
 
Back
Top Bottom