TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

aisee kwani palikuwa na kosa gani wao kuwa ile sehemu?
mi naona kama vile wamekurupuka
 
Kwa walioona watagundua kwamba kuna kipengere kimekatwa wakati wa kusoma muhtasari, hii inaonesha habari yenyewe haitazungumzwa kabisa, what is the impression of this???

TAFAKARI...........!!!!!
 
hatakama chadema wamevunja sheria za nchi kwa kiasi chochote kile, solution sio KUUA
 
Kuna haja ya watanzania wote kuandamana ili tuuawe. Tanzania inatishwa na wahujumu uhuru.
 
Heshima yako mkuu Royals,

Kama nilivyoendelea kusikia kutoka kwa wengine pia waliochangia, naomba radhi kama nilikukwaza.

Mungu Ampumzishe mahali pema mwandishi wetu Daudi Mwangosi na Awape faraja wote walioguswa na msiba huu mzito.
Ninaamini ya kuwa kifo chake na vifo vya wengine wengi waliouawa na vyombo vya dola katika kutafuta haki ya wanyonge havitakuwa vya bure. Walioko madarakani wamejisahau, lakini ukweli unabaki pale pale.
Mwisho wa ccm ni huu. Udhalimu sasa basi. Hakuna katika historia duniani kote utawala ulioweza kuendelea baada ya kuanza kuwaua wananchi wasio na hatia ambao kosa lao tu ni kutetea haki za wanyonge!

Pumzika kwa Amani Daudi Mwangosi!

una busara ya hali ya juu,,,,wana jf wengi tungekua kama wewe,BAN ZISINGEJULIKANA HAPA,,,,,
 
Kwa walioona watagundua kwamba kuna kipengere kimekatwa wakati wa kusoma muhtasari, hii inaonesha habari yenyewe haitazungumzwa kabisa, what is the impression of this???

TAFAKARI...........!!!!!

Siyo hiyo tu, siku hizi ITV hawatangazi sana CDM!! Na UFO SARO simuoni tena akiitangaza CDM kama awali. Nina wasiwasi NPE ameshamuona big!!
 
kama ni polisi wamemuua ili kujaribu kuzuia umaarufu wa cdm nitaichukia sana serikali . .....na iwapo hii ni njama ya cdm ya kutaka kupata umaarufu zaidi wa kisiasa basi nitasikitika sana
 
Dah mkuu mbona mapema hivi, tusubirie kwanza habar iishe.
 
Ilaaniwe serikali ya CCM na polisi wake. Walaaniwe milele yote.

Pumzika kwa amani kamanda!
 
ccm wananchi tunajua mbinu zenu mnazidi kujimaliza....pole familia ya marehem.!!
 
Waandishi wa habari mwaweza shitaki polisi amnesty inc kwa kukiuka haki ya mwandishi ya kulindwa kwenye armed conflict.
 
Nadhani watakuja na story za kuwa chadema ndio walirusha risasi..!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Mie siandiki kitu leo. Ila ninachukua mda kumtafakari yule ***** aliyesema ana degree ya sheria.
.

hahahahaaa,,,,labda wanasheria wangetuambia je,,,,kusome degree za sheria ni kigezo cha kuua?????
 
TBC wameripoti bila picha wala nini? Ngoja tusubiri labda ITV watatangaza.
 
Hekima na busara itumike kuepusha mauaji yasiyo na lazima. RIP D. Mwangosi
 
Jaribu kutumia ubongo wako badala ya u-CCM. Aliyeuwa mwandishi wa habari ni dr. slaa au polisi waliotumwa na CCM?

Risasi haiwezi kusambaratisha mwili kwa kiasi kile,kuna mpuuzi hapa JF last week aliomba msaada wa kutengeneza bomu la petrol anaweza kuisaidia police.Lengo la kumuua mwandishi ni kupandikiza chuki.
 
Back
Top Bottom