Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima yako mkuu Royals,
Kama nilivyoendelea kusikia kutoka kwa wengine pia waliochangia, naomba radhi kama nilikukwaza.
Mungu Ampumzishe mahali pema mwandishi wetu Daudi Mwangosi na Awape faraja wote walioguswa na msiba huu mzito.
Ninaamini ya kuwa kifo chake na vifo vya wengine wengi waliouawa na vyombo vya dola katika kutafuta haki ya wanyonge havitakuwa vya bure. Walioko madarakani wamejisahau, lakini ukweli unabaki pale pale.
Mwisho wa ccm ni huu. Udhalimu sasa basi. Hakuna katika historia duniani kote utawala ulioweza kuendelea baada ya kuanza kuwaua wananchi wasio na hatia ambao kosa lao tu ni kutetea haki za wanyonge!
Pumzika kwa Amani Daudi Mwangosi!
Kwa walioona watagundua kwamba kuna kipengere kimekatwa wakati wa kusoma muhtasari, hii inaonesha habari yenyewe haitazungumzwa kabisa, what is the impression of this???
TAFAKARI...........!!!!!
JK apelekwe The Hugue mara moja kwa kusababisha mauaji ya wananchi wake
Maneno hayo hapo juu niliyasema wakati wa mauwaji ya Morogoro.Kwangu mimi it was already too much!
Mie siandiki kitu leo. Ila ninachukua mda kumtafakari yule ***** aliyesema ana degree ya sheria.
.
Jaribu kutumia ubongo wako badala ya u-CCM. Aliyeuwa mwandishi wa habari ni dr. slaa au polisi waliotumwa na CCM?