TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

TANZIA Iringa: Mwandishi Mwangosi auawa katika vurugu kati ya Polisi na CHADEMA

Sio kosa lao hata shuleni walikuwa vilaza ndo maana wakawa polisi.
 
Huyo mwandishi kajitowa mhanga afe na Polisi. Semeni kweli, msitake kupindisha ukweli. Lakini itajulikana bomu kalitowa wapi.

Bomu la machozi halikusambaratishi namna ile.

Kadanganywa na wana siasa uchwara akaona anafanya la maana.
 
Sijui elimu yako, ila ukianza na wrong premise(kuvunja sheria) utamaliza na wrong conclusion. Huo mkusanyiko usingekuwepo nani angekwenda kumuuwa Mwangosi nyumbani kwake? Au leo tu ndio hiyo ofisi imenunua mafaili hadi polisi wayachome? Hatuwezi kuwa na nchi isiyofuata sheria, mkitaka nendeni Somalia hakuna serikali.

Sheria gani iliyovunjwa ibandike tuione ili tuizomee cdm! Na sio dhana tu!
 
Wewe utaishi milele! kwi kwi kwi teh teh teh!

"Umetoka kwa udongo utarudi kwa udongo"

Nitakufa lakini si kifo cha kupangwa na chama chako cha mabwepande na ndio maana tunakemea haya maovu yanayofanywa na polisiccm acha uzoba wewe.
 
kwani Tanzania hakuna vazi ambalo linamtambulisha mwanahabari akiwa ktk mazingira ya utata! kama vile VIKOTI vya PRESS, MEDIA au KITAMBULISHO KIKUBWA KIFUANI! polisi hawkumtambua hata wanasema aliekua anamtetea ilibidi yeye achukue zamana ya kumtambua na kuwajulisha wenzake kwamba huyu ni mwandishi wa habari! msininukuu vibaya sijamshutumu mtu yeyote wala chombo chochote! Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi!

Ujinga gani wa kujiuliza swali na kujijibu mwenyewe ulishaona wapi hiyo? we ni Polisi tu acheni kujitetea
 
Hivi Polisi na serikali ya ccm wanatutaka nini watanzania?

Muda mfupi uliopita Msemaji wa Polisi Makao Makuu Paul Chagonja aesema kitu amacho hata mwendawazimu katika peak time hawezi kukisema. Eti marehemu Mwangosi aliwakimbilia polisi huku akilia kuomba msaada akitokea upande wa pili (pengine kwa wananchi). Na kuwa eti alipigwa na kitu kizito. Ukitazama picha humu JF na magazeti kwa haraka ni kuwa marehemu alikuwa katikati ya kundi la askari polisi waliokuwa wakimshambulia, sasa je kwa nini hicho kitu kumuue marehemu tu? Wa kwanza kudhurika wangekuwa askari polisi.

Hivyo jaribio dhaifu la Polisi kupotosha na kuuhadaa umma limeshindwa tena. Tunamshukuru MUNGU aliruhusu picha (still na video) zichukuliwe, vingenevyo uongo ungepata nafasi. Picha zote bila shaka yoyote zimeonesha marehemu akifia mikononi mwa polisi baada ya kupigwa na kuumizwa kinyama na kundi la askari waliokuwa na silaha nzito nzito.

Najua watawala hawapendi hii lakini lazima tuseme;-
Muda na uhalali wa CCM na JK kutawala umepita. Wako kwenye borrowed time. Tutaichukua nchi yetu na kuijenga upya. Hatatuacha wala kusahau damu za mashujaa wetu, raia wema ,waliouawa na Polisi na vibaraka wengine wa ccm zipotee bure. Tutahakikisha haki inatendeka na inaonekana kutendeka.
 
Ngonjera zingine!!!!!! wote tunaweza kuitikia. Baada ya kifo kukukuta .' marehemu alikwa hivi.............................................. na mwisho wa shairi, ' kazi ya Mungu haina makosa jina lake lihimidiwe'. Ni kweli inauma sana kupoteza uhai wa mtu. Lakini ni kweli hatuwezi kutumia busara zetu kutatua matatizo yetu na wakati wote lengo ni moja au Chadema wao wakiingia madarakani watazaa upya watu wao na serikali yao haitakuwa na Sheria. Maandiko ya biblia yanasema' Huwezi kusema unampenda Mungu usiyemwona huku unamchukia Jirani/ ndugu yako''. Nasikia mauwaji yametokea kwenye Office ya Chadema lakini kwa picha msamalia mwema alizotuma zinaonyesha mazingira yake si ya kiofisi. Naomba tufahamishwe vizuri. Ubaya unaotusumbua wote kwa pamoja kila mtu anavutia upande wake hata kama amefanya kosa. Uliyesababisha mauaji na uliyeua wote adhabu yao ni moja, wote ni wauaji. Tuthamini utu aliotujilia Mungu.
 
Huyo mwandishi kajitowa mhanga afe na Polisi. Semeni kweli, msitake kupindisha ukweli. Lakini itajulikana bomu kalitowa wapi.

Bomu la machozi halikusambaratishi namna ile.

Kadanganywa na wana siasa uchwara akaona anafanya la maana.

Kwani yeye ni mtoto wa chekechea adanganywe, akili yako mgando kama maziwa.Danganya uliozoea hivi umepitia JKT unajua impact ya risasi inayotoka ktk silaha kubwa.kama ungepitia jkt usingeandika huo uzembe
 
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, Amein. Sijui nchi inaelekea wapi??? Nina uhakika kabisa wakati polisi wanamshambulia walikuwa wakijua kabisa kama wanamshambulia nani,Numebahatika kuona picha ambayo mwandishi huyu amewekwa katikati na kundi la polisi wakimshambulia nikashangaa sana. Lakini yote haya yana mwisho.
 
Wanaoingia madarakani kwa kutumia magazeti,watatumia mtutu kusalia madarakani alisema mh sumaye na leo yanatokea.tusubiri

SUMAYE ALILIONA HILI MAPEMA! Tutaisha ndugu zangu!
 
Kujitoa muhanga ni itikadi yako, ndiko manokoelkeza nji
 
watasema tena kapigwa na kitu kizito na watu wasiojulikana!!!!,cinema nyingine hiyooo
 
Huyo mwandishi kajitowa mhanga afe na Polisi. Semeni kweli, msitake kupindisha ukweli. Lakini itajulikana bomu kalitowa wapi.

Bomu la machozi halikusambaratishi namna ile.

Kadanganywa na wana siasa uchwara akaona anafanya la maana.

Watu kama wewe Jeshini wanaitwa Maselule yasiyo na ufahamu na mambo ya kijeshi
 
SUMAYE ALILIONA HILI MAPEMA! Tutaisha ndugu zangu!

Nakumbuka sana usemi wake" anyesafisha njia ya kupata madaraka kwa njia ya kalamu akiingia atajisafishia kwa njia ya risasi asitoke"
 
Huyo mwandishi kajitowa mhanga afe na Polisi. Semeni kweli, msitake kupindisha ukweli. Lakini itajulikana bomu kalitowa wapi.

Bomu la machozi halikusambaratishi namna ile.

Kadanganywa na wana siasa uchwara akaona anafanya la maana.

Wewe kenge huna aibu? Makalio yako yametawala ubongo wako. Arguments zako kama mtoto. ACHA UPUMBAFU NA USHABIKI WA KIJINGA, UTAOLEWA!
 
Back
Top Bottom