Iringa: Polisi wadaiwa kuwaamuru watuhumiwa wa wizi kulawitiana

Iringa: Polisi wadaiwa kuwaamuru watuhumiwa wa wizi kulawitiana

AbaMukulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2018
Posts
2,053
Reaction score
3,586
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama watuhumiwa kwenye kiwanda hicho.

====

Vijana 5 Waliokua Wafanyakazi Wa Kiwanda Cha Hongway Walikamatwa Na Jeshi La Polisi Mafinga Mkoani Iringa Na Wakiwa Kituoni Hapo Polisi Hao Waliwanyoa Nywele Na Msumeno, Kuwaingizia Rungu Matakoni Na Kuwalazimisha WALAWITIANE Wenyewe Kwa Wenyewe.

uongo
km Madaktari wamekataa jamaa hajaingiliwa ina maana wamehongwa nao?
 
usiwaamini madaktari. Hao ni watumishi wa serikali na mtuhuniwa ni polisi coverup is likely.
Hawa vijana ni wezi na wavivu wanataka wamfukuze huyo Mchina wabaki na kiwanda wakiue tena
achana na uongo wa kutunga POLISI wameshakataa, haiwezekeni kabisa katika Interrogation wamejaa watu uambiwe mlawiti mwenzako ikasimama HIAWEZEKENI ( ni kitu ya faragha)
 
Usikatae sana mkuu.
Kwani wale masheikh wa Uamsho waliopo Segerea mbona walishawahi lalamika mahakamani kuingiliwa kinyume na ma askari? Haki iko wapi?
 
Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama watuhumiwa kwenye kiwanda hicho.

Kwa tukio hili, basi nchi yetu imesha uzwa kwa wachina, inabidi tu sasa kila mtu achukue hatua za kujiami na kujilinda mwenyewe.

Hiki ni kitendo cha kinyama na Rais anapaswa atoe tamko, ikiwa ni pamoja na wahusika wote kuchukuliwa hautua ikiwa ni pamoja na kuwafuta kazi kufunguliwa mashataka kuanzia IGP, RPC wa mkoa husika, mkuu wa kituo husika na askari wote waliofanya/amuru hicho kitend o kifanyike.

Pia mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa nao wachukuliwe hatua.

ACHA NIITWE MCHOCHEZI NA MBAGUZI, HICHO KIWANDA NI CHA KUMWAGILIWA PETROLI NA KUPIGWA KIBERITI.

Hawa wachina wachunguzwe, na ikibainika waliwalipa askari kufanya hivyo, wachukuliwe hatua za kisheria, ikiwa ni pamoja na kuwarudisha kwao
 
Hawa vijana ni wezi na wavivu wanataka wamfukuze huyo Mchina wabaki na kiwanda wakiue tena
achana na uongo wa kutunga POLISI wameshakataa, haiwezekeni kabisa katika Interrogation wamejaa watu uambiwe mlawiti mwenzako ikasimama HIAWEZEKENI ( ni kitu ya faragha)

Kama wewe mwenyewe unapinga na hukuhusika, je itakuwaje kwa aliyehusika?
 
Jitahidi kumsoma jamaa kwa utulivu utamuelewa.

Hizi Ni scenarios mbili tofauti Hao unawataja inasemekana wamelawitiwa as torturing chini ya vikosi maalum (Hilo psycholocaly linawezekana) katika hii tuhuma ya Hawa watutuhumiwa wa Wizi wao wanasema wamepewa adhabu ya kulawitiana as part of torturing wakiwa huko mahabusu (Hilo psycholocaly haliwezekani kwani katika mazingira hayo ya mateso iliwezekanaje ku erect)
Usikatae sana mkuu.
Kwani wale masheikh wa Uamsho waliopo Segerea mbona walishawahi lalamika mahakamani kuinhiliwa kinyume na ma askari? Haki iko wapi?
 
Mapolisi wetu hawa nao wanaamrishwa amrishwa kama maroboti!

Mchina kawapa minoti wakawehuka!
 
uongo
km Madaktari wamekataa jamaa hajaingiliwa ina maana wamehongwa nao?

Tumia sense yako mkuu,kama wameweza kuwaingiza marungu matakoni na kuwanyoa nywele kwa msumeno,kuwalazimisha walawitiane wanashindwaje?!

Pesa imetembea madaktari wapike,mwanaume gani anapenda kusema wazi wazi kuwa amefirw@ polisi?!

Luna masheikh wapo hapo Ukonga na Segerwa wale wa UAMSHO mara kadhaa wamelalamika wanalawitiwa huko gerezani ili wakili makosa ya ugaidi,walitoa malalamiko yao pale Kisutu,hadi leo serikali kimya na wako ndani mwaka wa 5 sasa kuwa uchunguzi haujakamilika!!
 
Back
Top Bottom