Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
so sad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
so sad
Tumia sense yako mkuu,kama wameweza kuwaingiza marungu matakoni na kuwanyoa nywele kwa msumeno,kuwalazimisha walawitiane wanashindwaje?!
Pesa imetembea madaktari wapike,mwanaume gani anapenda kusema wazi wazi kuwa amefirw@ polisi?!
Luna masheikh wapo hapo Ukonga na Segerwa wale wa UAMSHO mara kadhaa wamelalamika wanalawitiwa huko gerezani ili wakili makosa ya ugaidi,walitoa malalamiko yao pale Kisutu,hadi leo serikali kimya na wako ndani mwaka wa 5 sasa kuwa uchunguzi haujakamilika!!
Mapolisi wetu hawa nao wanaamrishwa amrishwa kama maroboti!
Mchina kawapa minoti wakawehuka!
Unaambiwa eneo hilo(the whole district) wamekamata Wachina, kama waliweza kuwaagiza💸💵 polisi kutekeleza ushenzi huo watashindwaje kumuelekeza💵💸 daktari namna ya kuandika repoti ya uchunguzi wake.uongo
km Madaktari wamekataa jamaa hajaingiliwa ina maana wamehongwa nao?
Mnajitetea baada ya kula hela za Wachina na kufanyia ubaradhuli Wabongo wenzenu, mafala sana nyinyi.UONGO hausaidii
watu tumeshaingia hizo Jela (Magereza) acha kaselo ka POLISI hapo Iringa
Ni wapi wamesema wamelawitiana, fuatilia clip mwanzo mwisho
kuna Ruge na Harbinder Sing aliyesema ana PUTO likipasuka tu anakufa mbona hakuna cha PUTO
Kuna viongozi wa siasa waliingia huko na wakaleta mrejesho
kama tabia ni yako hata mtaani utaifanya
lakini vijana wa Mchina waongo hao ni wezi watafute kazi ingine
Duuh!!!!!! Huo ni zaidi ya unyama aise