uongo
km Madaktari wamekataa jamaa hajaingiliwa ina maana wamehongwa nao?
Tumia sense yako mkuu,kama wameweza kuwaingiza marungu matakoni na kuwanyoa nywele kwa msumeno,kuwalazimisha walawitiane wanashindwaje?!
Pesa imetembea madaktari wapike,mwanaume gani anapenda kusema wazi wazi kuwa amefirw@ polisi?!
Luna masheikh wapo hapo Ukonga na Segerwa wale wa UAMSHO mara kadhaa wamelalamika wanalawitiwa huko gerezani ili wakili makosa ya ugaidi,walitoa malalamiko yao pale Kisutu,hadi leo serikali kimya na wako ndani mwaka wa 5 sasa kuwa uchunguzi haujakamilika!!