Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
UONGO hausaidiiTumia sense yako mkuu,kama wameweza kuwaingiza marungu matakoni na kuwanyoa nywele kwa msumeno,kuwalazimisha walawitiane wanashindwaje?!
Pesa imetembea madaktari wapike,mwanaume gani anapenda kusema wazi wazi kuwa amefirw@ polisi?!
Luna masheikh wapo hapo Ukonga na Segerwa wale wa UAMSHO mara kadhaa wamelalamika wanalawitiwa huko gerezani ili wakili makosa ya ugaidi,walitoa malalamiko yao pale Kisutu,hadi leo serikali kimya na wako ndani mwaka wa 5 sasa kuwa uchunguzi haujakamilika!!
watu tumeshaingia hizo Jela (Magereza) acha kaselo ka POLISI hapo Iringa
Ni wapi wamesema wamelawitiana, fuatilia clip mwanzo mwisho
kuna Ruge na Harbinder Sing aliyesema ana PUTO likipasuka tu anakufa mbona hakuna cha PUTO
Kuna viongozi wa siasa waliingia huko na wakaleta mrejesho
kama tabia ni yako hata mtaani utaifanya
lakini vijana wa Mchina waongo hao ni wezi watafute kazi ingine