Iringa: Polisi wadaiwa kuwaamuru watuhumiwa wa wizi kulawitiana

UONGO hausaidii
watu tumeshaingia hizo Jela (Magereza) acha kaselo ka POLISI hapo Iringa
Ni wapi wamesema wamelawitiana, fuatilia clip mwanzo mwisho
kuna Ruge na Harbinder Sing aliyesema ana PUTO likipasuka tu anakufa mbona hakuna cha PUTO
Kuna viongozi wa siasa waliingia huko na wakaleta mrejesho
kama tabia ni yako hata mtaani utaifanya
lakini vijana wa Mchina waongo hao ni wezi watafute kazi ingine
 
Hii kali huyo police bado yupo kazini hadi leo hiii ? Anawaambukiza ukimwi namna hii !!
Wewe unauliza hili swali katika awamu hii? ? Kuna wale police walio muua aqwilina mbona wapo uraiani mpaka leo hii !!!!!#
 
Ww nae tumia akili.
Uwepo wa watu wengi interrogation room inazuiaje amri kama hy kutolewa. Kuna kutoa amri na kutekeleza amri.
Halaf hata kama sisi nu masikini basi tusdhalilishwe. Unaweza kuta mwekezaji kafanya makosa makubwa lkn kwa vile tunaogopa kuwakimbikiza etii sasa uonewe na udhalilishwe tuu..
Sie tujiulize why polic watoe amri kama hy kwa mtu aliechini ya ulinzi
 
mm nitumie akili wewe unatumia Makalio?
kwanini usiirudie hiyo Clip mbona dk 3.05 wamejieleza vizuri hata mwanzo alipovua nguo amesema aliingiliwa na mwarabu?
usikurupuke kwa video za mitaani angalia basi wenzako wanachangiaje sio kumlawiti mwenzako hadharani ni kitu kidogo lkn upelelezi una mbinu nyingi
Ukisoma vizuri hawakuingiliwa. Walivulishwa nguo na mwarabu kupewa hiyo amri haramu ambayo hakuitekeleza.
 
Sheria inaruhusu wewe askari kumlawiti mtu?
Au ni Jamhuri nyingine sio hii ya Tanzania?
 
Usikatae sana mkuu.
Kwani wale masheikh wa Uamsho waliopo Segerea mbona walishawahi lalamika mahakamani kuingiliwa kinyume na ma askari? Haki iko wapi?
Hivi umewahi kukamatwa kweli? Sijui kwa nini unaamini huo ujinga.
 
hao polisi wajiandae na maisha uraiani, siku hizi hakuna kuremba
 
Inaweza kuwa wezi nao wanajitetea. Inaweza pia kuwa wamefanyiwa ushenzi na polisi. Video inasema ripoti ya hospitali haioneshi kupigwa wala kulawitiwa.

Kunahitajika ma "psychologist" au "lie detectors" kuwahoji wote, polisi na watuhumiwa kubaini ni yupi anasema kweli na yupi anasema uongo. Maana moja ya njia ya kujihami mtu afanyapo makosa ni kusema uongo, iwe watuhumiwa au polisi.

Tunaomba chunguzi wa kina na usio na upendeleo ufanyike
 
Maelezo ya walalamikaji wanapotaka kuziteka hisia zetu, walitakiwa kutoa maelezo yanayofanana na ukweli bila kuacha mashaka ama maswali.

Hivi kweli msumeno wowote, iwe wa kukatia vyuma ama kukatia mbao, unaweza ukamnyoa binadamu na nywele zikaondoka kichwani?

Je katika hali ya kisaikolojia ya kawaida, binadamu aliyeko kwenye kibano, kavurugwa, anaweza kusimamisha dudu layouyou na kisha kulisokomeza kwa mwanamme mwenzake?

Zisijekuwa tuhuma za kutunga ili kulichafua jeshi la polisi na kupunguza makali ya moto unaowawakia hao vibaka.
 
hutaliona hata moja kati ya ulio yasema.
 
Mboo itasimamaje?, tuanzie hapo.
 
Usikatae sana mkuu.
Kwani wale masheikh wa Uamsho waliopo Segerea mbona walishawahi lalamika mahakamani kuingiliwa kinyume na ma askari? Haki iko wapi?
Usipende sana umbea kiasi hicho mtuhumiwa anawezasema uongo wowote akiwa mahakamani ili tu aonewe huruma.
 
Wewe ukilazimishwa kumfira mwenzio katika mazingira km hayo ukuni utasimama?
 
Ulitaka polisi wakubali iwe kashfa.Guantamo bay ilitokea kitu hio askari wa marekani walikuwa wakiwalazimisha magaidi wa alqaida kulawitiana naona askari wa bongo wameiga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…