Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea.
Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je watachukua muda gani kuja na majibu na pengine kuwakamata hao wauwaji?
==================
Jeshi la Polisi mkoani Iringa linachunguza tukio la mauaji ya Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, Christina Nindi (56) kwa kupingwa risasi kifuani pamoja na kitu kizito kichwani na watu wasiojulikana.
Taarifa hiyo imetolewa na Kamanda ya Jeshi la Polisi Iringa, Allan Bukumbi leo Novemba 13, 2024.
Soma Pia: