Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Green guardsAlipigwa risasi nyumbani kwake kilolo na kupoteza maisha.
Tunalitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa kina na makini ili kuwakamata wahusika wote walio tekeleza na walio panga mauaji.
Tunafahamu kuna chama kimoja cha upinzani kina miliki na kuendesha magenge ya kihalifu tunapaswa kuwachimba vilivyo.
R. I. P mzee mohamed Kibao