Iringa: Polisi yaanza uchunguzi mauwaji ya Katibu wa CCM Kilolo

Green guards
R. I. P mzee mohamed Kibao
 
Uchunguzi wa Mohamed Kibao, umefikia wapi????
 
Ivi mtoa mada una,amini upo,sawa kweli kichwani? yaani Polisi wajishugulishe na,hilo ili iweje? na,kifo,ni,kifo,tu! au mkuki umeanza kuwaludia ???
 
Si tunaenda na nsemo wa kifo ni kifo. Isitoshe ni walewale wasiojulikana. Wataendelea na uchunguzi km wa mzee wetu Ali KIBAO R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…