figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ama kwa hakika,Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.
Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.
Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.
Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
View attachment 3677343
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.
Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.
Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.
Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.
✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz
#nurufm
#nurudigital
Africa ina mito, misitu,na kila madini lakini inaagiza furniture china.Usishangae hiloMzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.
Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.
Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.
Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
View attachment 3677343
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.
Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.
Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.
Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.
✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz
#nurufm
#nurudigital
Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.

Mkuu hizi lawamaa Hazina msingi wowote na ni kumuona Mh RaisMzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.
Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.
Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.
Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
View attachment 3677343
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.
Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.
Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.
Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.
✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz
#nurufm
#nurudigital
Yaani maana yako ni kwamba Samia alikuta watoto wanakalia madawati kwa kazi nzuri iliyofanywa na Magufuli yeye akayaharibu!Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika.
Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya.
Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka.
Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina?
View attachment 3677343
Shule ya Msingi Igeleke, iliyopo Kata ya Mkimbizi, Manispaa ya Iringa, inakabiliwa na uhaba wa madawati 106, hali inayowalazimu baadhi ya wanafunzi kukaa chini wakati wa masomo.
Hayo yameelezwa katika risala iliyowasilishwa kwenye mahafali ya Darasa la Saba yaliyofanyika leo, Septemba 24, 2026, ambapo shule imeomba wadau wa elimu kujitokeza kusaidia kukabiliana na changamoto hiyo.
Kaimu Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Sikudhani Lukasi, amesema madawati yaliyopo hayatoshi mahitaji ya wanafunzi, huku Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Jofrey Ngolo, akisema kamati tayari imeiandikia Manispaa ya Iringa kuomba msaada.
Kwa upande wake, mgeni rasmi katika mahafali hayo, Wakili Moses Ambindwile, amewataka wadau mbalimbali kushirikiana na uongozi wa shule kuboresha mazingira ya kujifunzia, hususan katika upatikanaji wa madawati.
✍ @adelphinakutika
🎤 @dadtwinny
💻 @crgenius_tz
#nurufm
#nurudigital
Hata Mimi nashangaa mtoa madaYaani maana yako ni kwamba Samia alikuta watoto wanakalia madawati kwa kazi nzuri iliyofanywa na Magufuli yeye akayaharibu!
Mbao nyingi za Iringa na Njombe hupelekwa DSM na Mwanza.Hapo ndipo Mwanza ikapata timu ya mpira wa miguu ikaitwa Mbao halafu wenye mbao zao watoto wanakaa chini.Sijui huwa kinatokea nini, mfano mwanza samaki wakubwa hawapo mimi nikajua sikuhizi wanavuliwa wakiwa bado! Nashangaa mahotelini, fillet factories na mkoa kama dar wana sangara wakubwa tena fresh wanapatikana kwa urahisi🤔
Nyie inaumiza😰 na kweli mbao mwanza zipo kila kata!🙌🏾Mbao nyingi za Iringa na Njombe hupelekwa DSM na Mwanza.Hapo ndipo Mwanza ikapata timu ya mpira wa miguu ikaitwa Mbao halafu wenye mbao zao watoto wanakaa chini.
Hata mbao za mininga ya Pembampazi Tabora na sehemu za Singida zimejazana Mwanza.Nyie inaumiza😰 na kweli mbao mwanza zipo kila kata!🙌🏾
Kumbe zao la mninga ni la iringa? Aisee hii mbao ina hatari halafu nzitoo!! Kitanda chake au kabati huvichoki..🙌🏾Hata mbao za mininga ya Pembampazi Tabora na sehemu za Singida zimejazana Mwanza.
Samia huna ubavu wa kumtetea. Haya nimeacha kumlaumu kwa hili. Mtetee na kuhusu mauaji yalotokea 29.10.2025. Au mtetee kuhusu kifo cha Magufuli. Au mtetee kuteua ukoo wake. Utamtetea lipi kati yaa hayo?Hii nadhani si kuilamu tu awamu hii
Mininga siyo Iringa.Tabora na Singida ndiyo huzalishwa.Iringa ni "saipras"/mbao nyeupe.Kumbe zao la mninga ni la iringa? Aisee hii mbao ina hatari halafu nzitoo!! Kitanda chake au kabati huvichoki..🙌🏾
Hiyo maana umeitoa wapi? Mimi maana ni yangu ni hilo lizanzibari halitufai. Kauza bandari kwa DP, hela alipeleka oman halafu kakupa vocha uje kutetea ujinga wakeYaani maana yako ni kwamba Samia alikuta watoto wanakalia madawati