Iringa Wanazalisha mbao, lakini Wanafunzi wa Iringa wanakaa Chini. Samia Suluhu hajali

Kumbe zao la mninga ni la iringa? Aisee hii mbao ina hatari halafu nzitoo!! Kitanda chake au kabati huvichoki..πŸ™ŒπŸΎ
Na Huwa vinauzwa bei kweli!!
 
Mh. Rais hawezi kufanya vitu ninor kama hvy, lawama ziewaendee wasaidizi wake mfano Mkuu wa Mkoa, DC, DED, Mbunge etc.....hapo kungekuwa na watu committed na creative hiyo ni issue ndogo sana kushughulikiwa na Rais.
 
Kuna Rc, Dc, Wakurugenzi, wabunge wote hawa wapo wameshindwa kutengeneza mikakati ya kuondoa changamoto hizo..
 
Hao wote ni wateule wa Rais!so huenda akili zao zimelala, Rais akilaumiwa end of day atawatumbua hao wateule wake wazembe na kuleta Wachapakazi
 
Serikali za majimbo ndio sulihisho,

Hii habari ya nchi yote kutawaliwa kutoka Dar/Dom sio kabisa.

Hii nchi bila katiba mpya mtasota sana wanangu.
 
Mwana una gadhab hatar.
Nimejarb kukueleza facts mkuu,
Rais hawez handle issue ambazo hata mwenyekiti wa mtaa ana mudu. Tuache lawama zisizo na tija.
Unajitoa ufahamu sio? Au hujui kama aliahidi mwenyewe jukwaani?
 
Mh. Rais hawezi kufanya vitu ninor kama hvy, lawama ziewaendee wasaidizi wake mfano Mkuu wa Mkoa, DC, DED, Mbunge etc.....hapo kungekuwa na watu committed na creative hiyo ni issue ndogo sana kushughulikiwa na Rais.
Aliahidi mwenyewe. Au alilazimishwa? Kuna mkuu wa mkoa wilaya au Mkurugenzi alikuja kuomba kura na kutoa ahadi ya madawati? Ficha ujinga wewe! Kubwa hovyo
 
Hivi Bei ya dawati kwa iringa ni 45,000 na dawati moja hukaliwa na wanafunzi watatu

Je wanafunzi/wazazi hawawezi kuchangia shilingi 15,000 tu kila mmoja akaweza kukaa kwenye dawati na tatizo likawa limekwisha

Au ndio mambo ya elimu bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…