Dahh mbona soko liko kote sema tu watu wameiona fursa! Mwanza mboga yetu kuu ni hao samaki na dagaa..soko lipo huku walaji wapo huku, imefikia wakati mtu mwenye ng'ombe 40 , mbuzi 20 heka zaidi ya 20 anataka kumpiga mzinga mwenzake ambaye yupo aganga njaa kwa kua anatoka Dar
basi hili mnalimudu sana, au lah demand imekua kubwa sehemu zingine, niliona mtandaoni jamaa analalamika kwamba watu wanadhani ukika u mwanza unakula samaki, umesaidia kunielewesha aiseDahh mbona soko liko kote sema tu watu wameiona fursa! Mwanza mboga yetu kuu ni hao samaki na dagaa..
Samaki ni shida kila mwezi ziwa linafungwa siku 10basi hili mnalimudu sana, au lah demand imekua kubwa sehemu zingine, niliona mtandaoni jamaa analalamika kwamba watu wanadhani ukika u mwanza unakula samaki, umesaidia kunielewesha aise
wizara ya mifugo na uvuvi walitoa mikopo mwezi uliopita kwa vijana kufuga kwenye vizimba huko ziwani, inaweza ikawasaidia kuongeza uzalishaji siku zijazoSamaki ni shida kila mwezi ziwa linafungwa siku 10
Aisee! Ngoja tuone..wizara ya mifugo na uvuvi walitoa mikopo mwezi uliopita kwa vijana kufuga kwenye vizimba huko ziwani, inaweza ikawasaidia kuongeza uzalishaji siku zijazo
Wazazi wenyewe wenye hiyo miti hawawajali watoto wao. Eti wanamsubiri Rais! Hawa watu wa ajabu sana!ama kwa hakika,
penye miti mingi hakuna wajenzi.
sasa hapo Dr.Samia Suluhu Hassan awafanyie nini nyinyi watu wa Iringa na miti mnayo nyinyi wenyewe hadi kwenye milango ya nyumba zenu, gentleman?🤣
kulikoni mnaiga tabia ya panzi kufa njaa akiwa kashikilia chakula?🐒
mtoa hoja na watu wa Iringa wamenishangaza sana aise dah 🤣Wazazi wenyewe wenye hiyo miti hawawajali watoto wao. Eti wanamsubiri Rais! Hawa watu wa ajabu sana!
Yaani!mtoa hoja na watu wa Iringa wamenishangaza sana aise dah 🤣
yaani miti unayo,Yaani!
Ingewezekana.Wanasubiri hela za "mama" zitokanazo na tozo zijenge madarasa na kuchongesha madawati.Hivi tuseme ukweli,
Mwenyekiti wa mtaa ambayo hy shule ipo ameshindwa kuitisha mkutano ku mobilize wazazi, wafanyabiashara, taasisi na mashirika katika eneo hilo wakachanga pesa kupata madawati 100+kwa ajili ya watoto wetu?
Asante sanaWazazi wenyewe wenye hiyo miti hawawajali watoto wao. Eti wanamsubiri Rais! Hawa watu wa ajabu sana!
HahahahaaaSamaki ni shida kila mwezi ziwa linafungwa siku 10
Hilo nalo hadi mama alitizame kweli?????
Labda maagizo kutoka juu yatasaidia...Hilo nalo hadi mama alitizame kweli?????
Mnamchosha mama! Mengine mamlaka husika zijiongezeLabda maagizo kutoka juu yatasaidia...
Mamlaka zenyewe ndiyo zile za kutunishiana misuli... na kuambiana nenda popote kashtaki...Mnamchosha mama! Mengine mamlaka husika zijiongeze
Hapo kazi ipo!!Mamlaka zenyewe ndiyo zile za kutunishiana misuli... na kuambiana nenda popote kashtaki...