'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

We nae mpuuzi Nini kwani Kobazi ni dini au nyumba ya ibada?
 
Elimu kazi yake ni kukupa uelewa na inamsaidi binaadamu kuyamudu mazingira yake
Sasa wewe elimu inakusaidia nini kama hadi leo upo mitandaoni unajidhalilisha kwa kubishana na muandishi wa habari za kiuchunguzi
 
Moja ya sifa ya kuwa mjinga na mpuuzi ni kudhani Kila ukiandika utumbo ni habari za kichunguzi na Kila mtu lazima akiunge mkono, dunderhead...😁 Hata taahira aliyeko mirembe hajijui kuwa ni mgonjwa unaweza kuwa mmoja wao
 
Moja ya sifa ya kuwa mjinga na mpuuzi ni kudhani Kila ukiandika utumbo ni habari za kichunguzi... Hata taahira aliyeko mirembe hajijui kuwa ni mgonjwa unaweza kuwa mmoja wao
Kwahiyo upo kwenu ileje unashauri muandishi wa habari wa gazeti la guardian uingereza tumpeleke mirembe kisa kaandika vitu ambavyo huvipendi ,aise wewe ni wa kuonewa huruma
 
Kwahiyo upo kwenu ileje unashauri muandishi wa habari wa gazeti la guardian uingereza tumpeleke mirembe kisa kaandika vitu ambavyo huvipendi ,aise wewe ni wa kuonewa huruma
Kuna sehemu nimesema hivyo au akili zako za kidunderhead ndiyo zilivyoelewa😁😁 soma kitu uelewe Siyo kukurupuka tu Yale ni maoni ya mwandishi Kila mtu ana maoni yake maoni Siyo msimamo wa Kila mtu hata Al Jazeera walitoa maoni kuwasifia Hamas kuwa Sasa wanaenda kuishinda Israel walipovamia Oct 7 mwaka mmoja Sasa tunaona kilichotokea, tangu January wamerusha makombora 4 wakati mwaka jana walirusha 3000, engage your brain pls
 
Hayanaga akili haya Yani mtu anaona hata nchi za kiarabu zimeilist Hamas kama kikundi Cha kigaidi yeye yupo nanjilinji huko anawasifia? Hivi hawajiulizi watu kibao wanaokufa Gaza na Lebanon na hamna nchi ya kiarabu inawasaidia😁😁😁
Mtu yuko Nanjilinji anakula ming'oko anajifanya mwanaharakati
 
Ona huyu kalio alivyo hana akili.
Kwa akili zako nani kakudanganya kuwa Israel hakuna madhara!?
*Galilaya millitary camp imelipuka iko disfunctional.
*Raia takriban laki tatu wamehama Kaskazini mwa Israel hadi sasa hawajarudi.
*IDF imepata askari takriban 70,000 walemavu wa kudumu.
Wewe mpuuzi mjaa kundi tumboni unasema hayakuleta madhara!??
Are you flicking insane!??
 
Hayanaga akili haya Yani mtu anaona hata nchi za kiarabu zimeilist Hamas kama kikundi Cha kigaidi yeye yupo nanjilinji huko anawasifia? Hivi hawajiulizi watu kibao wanaokufa Gaza na Lebanon na hamna nchi ya kiarabu inawasaidia😁😁😁
Kutokusaidiwa hakuhusiani na Hamas kuwa magaidi.
Hivi unajua kama UNGA wajumbe takriban 124 walikataa kuitambua Hamas kama terror organization na wakaipigia kura Palestina iwe free state!?
Una hiyo habari!?
Ama unajiropokea tu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…