'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Inaviziwa wapi ona poyoyo hili... Israel haivizii Iran wanataka kulipiza kisasi na ndiyo maana wanaishi Kwa hofu, wao ndiyo wameanzisha mchezo
Hahahaha sasa umekataa nini umekubali nini ndio maana nikakuita mjinga kumbe ni sahihi kama inataka kulipa kisasi kwa mujibu wako kuna tatizo gani ayotallah akiwa ndani ya bunker au ndio umechanganyikiwa huelewi nini unasema
 
ADUI WA UKRISTO NA UISLAM anachapika ile mbaya

⚡️⚡️⚡️ IMPORTANT : Al-Qassam spokesman Abu Ubaidah:

We congratulate the special operation in Beer Sheva, which was carried out by one of our heroes from the occupied territories⚡️⚡️⚡️

Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
 
Hahahaha sasa umekataa nini umekubali nini ndio maana nikakuita mjinga kumbe ni sahihi kama inataka kulipa kisasi kwa mujibu wako kuna tatizo gani ayotallah akiwa ndani ya bunker au ndio umechanganyikiwa huelewi nini unasema
Wewe nae sijui mpuuzi wa wapi... Kuvizia na kulipiza kisasi vinafanana? Umeishia la ngapi mbona kilaza hivyo?
 
Sawa bidada endelea kupost picha za magaidi huenda picha zikaishambulia Israel
 
ADUI WA UKRISTO NA UISLAM anateketezwa

⚡️🔥⚡️Al-Quds Brigades together with Al-Qassam Brigades show scenes of a sniper operation against a Zionist soldier in the invasion zone, Jabaliya camp⚡️🔥⚡️

Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
 
Special operations ya kuua mtu mmoja huku nguruwe 40,000 wakiteketea upande wako, thanks God sijawahi kuwa na akili ndogo hivi😁😁 Kobazi is a disgrace to this word
 
Special operations ya kuua mtu mmoja huku nguruwe 40,000 wakiteketea upande wako, thanks God sijawahi kuwa na akili ndogo hivi😁😁
TUNAKULA KICHWA ADUI WA UKRISTO NA UISLAM

🚨🟡🚨Hezbollah publishes scenes on firing rockets at Maalot-Tarshikha settlement in the Zionist regime's north🚨🟡🚨

Join 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺

🔥 🇷🇺IL RUSSO🇷🇺 🔥
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 👇

⚡️😂⚡️Israel Defense Forces admitted that they failed to intercept rockets on Haifa. According to the military, at least five rockets were fired on the city.

Where is IRON DOME ?⚡️😂⚡️
 
Special operations ya kuua mtu mmoja huku nguruwe 40,000 wakiteketea upande wako, thanks God sijawahi kuwa na akili ndogo hivi😁😁 Kobazi is a disgrace to this word
Kinachotoa matumaini wamekufa 40elf lakini wapiganaji wengi hawajafa hivyo kwenye battle field bado wapo sana hio ni advantage kwa hamas
 
Kinachotoa matumaini wamekufa 40elf lakini wapiganaji wengi hawajafa hivyo kwenye battle field bado wapo sana hio ni advantage kwa hamas
Advantage gani wakati Gaza strip ipo under control ya Israel Yani wanapigana kama guerilla warriors wanajificha kwenye mahandaki everytime, mwaka jana walirusha makombora 3000 kuelekea Israel mwaka huu wamerusha manne kweli Hamas wanaelekea kupata ushindi😂
 
Kazi uliyochagua ni ngumu sana 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kurusha rocket ndiyo unaita Kula kichwa😁😁😁 endelea kupost mapichapicha yanayoonyesha Israel kashindwa huenda mapichapicha yakasaidia mkashinda
 
Kuna mtu anasifiwa sana kwa kupiga majengo ya raia na mtu huyo anaficha kambi zake za kijeshi zilizopigwa zisioneshwe popote kwenye media
Utalinganisha kwa kigezo kipi wewe ikiwa umefichwa
Unaongea kimafumbo wakati wa Israel wanaopigana hawapo hata hapa jukwaani, Unaogopa kutekwa au ndio uoga wetu umefika level ya kimataifa 😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…