ngoja ngoja
JF-Expert Member
- Jun 20, 2024
- 673
- 1,526
Hahahaha sasa umekataa nini umekubali nini ndio maana nikakuita mjinga kumbe ni sahihi kama inataka kulipa kisasi kwa mujibu wako kuna tatizo gani ayotallah akiwa ndani ya bunker au ndio umechanganyikiwa huelewi nini unasemaInaviziwa wapi ona poyoyo hili... Israel haivizii Iran wanataka kulipiza kisasi na ndiyo maana wanaishi Kwa hofu, wao ndiyo wameanzisha mchezo