'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

wewe huna elimu ndio maana vitu vingi upo mweupe na huvijui
halafu swala la elimu ni kitu very personal ndio maana ukihitimu cheti kinaandikwa jina lako siyo la kundi au dini yako
Vile vile kama unavyosema kuwa eti wakristo wamesoma ,kama kusoma kwenyewe kunawafanya washindwe kujitambua ni aibu, huwezi kuwa mnakanyagishwa sijui mafuta mara sijui mjazane kwa koboko ya wachawi halafu mnasema mpo sawa kichwani, kwa hivyo vyeti vya kukariri huku akili za kufikiria hamna ni kazi bure
 
Anayekariri ni nani kati ya Wakristo na nyie unakuta katoto ka miaka 6 kamekariri kiarabu hakajui hata maana yake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ Koboko ya wachawi ndiyo Nini hata kuandika ni changamoto, kwahiyo Kwa akili yako hafifu wakristo wanatumia mafuta na wakristo Wote wanasali Kwa "KOBOKO YA WACHAWI", Hoja za kutetea magaidi zimeisha Sasa unahamia kwenye ishu nyingine zisizo na kichwa Wala miguu, Nincompoop ๐Ÿ˜ Punguza porojo huna hoja kalale labda akili itacharge kidogo comment ndefu imejaa upuuzi๐Ÿ˜‚ uote kuhusu bikra 72
 
Akili finyu hizi Sasa kanisani kunahusiana Nini na vita ya Hizbollah na Israel, Kobazi mkiishiwa hoja mnaandika chochote kama wapuuzi vile
Sipo kushabikia upande wowote wa vita lakini nimeshtuka kuona post hii ikiuliza kanisani kunahusiana nini na vita hivyo lakini wakati huo huo akashindwa kuuliza akili yake kwamba kobazi inahusiana nini na vita hivyo. Nna wasiwasi na akili huru za watanzania wenzangu. Tusipende saaana kushabikia mambo tusoyajua kwa kuegemea misingi ya Udini.
 
Unaandika maneno mengi sana.
 
Halafu kuna watanzania eti wanajitia wanasupport...Vichekesho
Hayanaga akili haya Yani mtu anaona hata nchi za kiarabu zimeilist Hamas kama kikundi Cha kigaidi yeye yupo nanjilinji huko anawasifia? Hivi hawajiulizi watu kibao wanaokufa Gaza na Lebanon na hamna nchi ya kiarabu inawasaidia๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ