'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

'Iron Dome Imeshindwa': Bomu la Makombora 120 la Hezbollah la Fadi Kambi 3 za Jeshi la Israel huko Haifa na Tiberias

Mkuu, unamaanisha mabom ya nyumba za makazi na yale ya kambi za jeshi yanatofautiana?
Sanaa ya vita ina adabu zake na lengo la Vita ni kushinda.

Huwezi kushinda vita kwa kuwapiga raia ambao hawana hatia katika medani za kivita wewe unaonekana gaidi na uliyeshindwa.

Vita vinapiganwa kwa wanao pigana vita hivyo hasa hasa wanajeshi, Wanawake, watoto na wazee huwa hawastahiki kupigwa katika viwanja vya vita.

Ndio maana ukitaka ushindi katika vita wapige wale ambao wanawapiga yaani wapiganaji.
 
Siyo AUGUST 23 .MNAFIKI WEWE HII VITA UMEZALIWA UMEIKUTA . Wewe ndiyo uelewi ndiyo maana nakwambia wewe ni MNAFIKI.
Ona huyu punguani nini anazungumza!
Kama huna hoja uwe unanyamaza.
Kila vita huwa ina sababu zake.
Ya 1948 ina chanzo chake.
Ya 1967 ina chanzo chake.
Ya 1973 ina chanzo chake na hii ya 2023 Oktoba ina chanzo chake ambacho kilianza 23 Agosti kwa IDF kuvamia wabedui wa Khani Younis.
Nenda katizame mashamba ya wabedui yalivyofanywa na raia kufanyiwa unyama wa kimakusudi.
Unakaa unabwabwaja hapa.
 
Ukisema tuanzie agosti 23 bado unakosea, huu mzozo ni wa miaka mingi tangu Israel ilipojitangazia uhuru shida ndipo ilipoanza, mataifa jirani walivamia Israel, hiyo agosti unayosemea wewe ni muendelezo tu
Nimesema tuanzie Agosti 23 kwasababu ndiyo kichocheo cha Oktoba 7.
Kila vita walizopigana hawa watu tangu 1917 zilikua zina vichocheo vyake mkuu.
 
Iron dome zinafaa sana tu kuwepo hapo Ukraine ila tatizo gharama zake za uendeshaji ni kubwa mno.

T14 Armata
Iron dome hakuna kitu tuwe wa kweli, tusiendeshwe na hisia ama msukumo wa aina yoyote.

Mifano hai mingi ipo wazi mbali na tukitoa fafanuzi za kiufundi.

Roketi za Hamas ambazo ni za kienyeji zinapita. Oktoba 7 takribani nusu au robo ya rockets zilipenya makazi ya Israel.

Hizbullah kwa rockets wanazozitumia imesababisha kaskazini mwa Israel wakazi wake wamehamishwa mpaka sasa.

Base zake zinapigwa sana na Hizbullah hata taarifa ya Uzi huu inathibitisha hivyo!

Juzi Iran imeonyesha madhaifu makubwa sana ya Iron dome.

Kwa Russia mwenye makombora mengi ya kisasa ndiyo Iron dome itafua dafu?
 
Nashangaa
 
Sanaa ya vita ina adabu zake na lengo la Vita ni kushinda.

Huwezi kushinda vita kwa kuwapiga raia ambao hawana hatia katika medani za kivita wewe unaonekana gaidi na uliyeshindwa.

Vita vinapiganwa kwa wanao pigana vita hivyo hasa hasa wanajeshi, Wanawake, watoto na wazee huwa hawastahiki kupigwa katika viwanja vya vita.

Ndio maana ukitaka ushindi katika vita wapige wale ambao wanawapiga yaani wapiganaji.
Tabia za mtu Gaidi unazifahamu lakini?

Kukisemwa Jeshi, kunatofauti kubwa sana na kitu kinaitwa gaidi

Alokwambia Israel lengo ni kupiga jeshi nani?
 
Attachments

  • Screenshot_20241007-140031.png
    Screenshot_20241007-140031.png
    230 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241007-140749.png
    Screenshot_20241007-140749.png
    282 KB · Views: 2
Sanaa ya vita ina adabu zake na lengo la Vita ni kushinda.

Huwezi kushinda vita kwa kuwapiga raia ambao hawana hatia katika medani za kivita wewe unaonekana gaidi na uliyeshindwa.

Vita vinapiganwa kwa wanao pigana vita hivyo hasa hasa wanajeshi, Wanawake, watoto na wazee huwa hawastahiki kupigwa katika viwanja vya vita.

Ndio maana ukitaka ushindi katika vita wapige wale ambao wanawapiga yaani wapiganaji.
Kama anavyofanya myahudi anatoa taarifa mapema raia wahame waende maeneo fulani

View: https://x.com/clashreport/status/1843266107698041334?t=PrIcfA2VQ-ptMnPXA-uj_A&s=19
 
Tabia za mtu Gaidi unazifahamu lakini?

Kukisemwa Jeshi, kunatofauti kubwa sana na kitu kinaitwa gaidi

Alokwambia Israel lengo ni kupiga jeshi nani?

Ndio maana akawa gaidi, sababu anajua watu ambao hawana hatia.

Kingine Wayahudi walishalaaniwa tangu zamani, ndio maana wanatanga tanga na kutumia vitu vya asili kujinasibisha navyo.
 
Mimi nakuliza October 7 Hamas waliuwa wanajeshi? Au raia wasio na hatia?
Hawezi kukujibu sababu ni Bonge la MNAFIKI. Na hakuna litumwa lolote la kiarabu litakwambia ni raia tu waliokufa . Yanachojua ni chuki tu mwarabu kawaambia waiteni wayahudi ni MAYAHUDI. Lakini wapalestina hawaiti MAPALESTINA. Maarabu majinga sana.
 
ANAWAUA RAIA HALAFU ANATAKA WAWE KINYUME NA SERIKALI YAO 🤣 🤣 🤣 🤣

⚡️⚡️⚡️ IMPORTANT : Zionist regime president calls on Iranians to rise up against Tehran's "anti-Israel" axis

Speaking to Saudi Arabia's Al Arabiya TV channel, Zionist regime President Isaac Herzog called on the Lebanese and Iranian peoples to "rise up" and confront Iran's axis of resistance.

If we stand up to this and resist together, we can surely hope for a better future and create a NATO-like structure in the region that will block "radicalism⚡️⚡️⚡️
 
🚨🚨🚨 IMPORTANT : The explosion occurred about 500 meters from the Israeli embassy in Copenhagen , - AFP.

As expected, innocent European Ashkenazis who have nothing to do with the actions of the Israeli leadership will end up suffering for the crimes of Israel's Nazi government🚨🚨🚨
 
Back
Top Bottom