Manny de Bwoy
Senior Member
- Aug 1, 2017
- 124
- 125
Mbona aliyejibiwa haongei unaumia wewe mpalestina wa Buza au wewe ndiyo mke wake mmeamua kuja familia nzima kunijibu😁🐷Roho inakuuma kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona aliyejibiwa haongei unaumia wewe mpalestina wa Buza au wewe ndiyo mke wake mmeamua kuja familia nzima kunijibu😁🐷Roho inakuuma kwelikweli
Sanaa ya vita ina adabu zake na lengo la Vita ni kushinda.Mkuu, unamaanisha mabom ya nyumba za makazi na yale ya kambi za jeshi yanatofautiana?
Ona huyu punguani nini anazungumza!Siyo AUGUST 23 .MNAFIKI WEWE HII VITA UMEZALIWA UMEIKUTA . Wewe ndiyo uelewi ndiyo maana nakwambia wewe ni MNAFIKI.
Nimesema tuanzie Agosti 23 kwasababu ndiyo kichocheo cha Oktoba 7.Ukisema tuanzie agosti 23 bado unakosea, huu mzozo ni wa miaka mingi tangu Israel ilipojitangazia uhuru shida ndipo ilipoanza, mataifa jirani walivamia Israel, hiyo agosti unayosemea wewe ni muendelezo tu
Lipi ni kundi la kigaidi?Mkuu kwani Makundi ya Kigaidi wana Kambi za Jeshi?
Iron dome hakuna kitu tuwe wa kweli, tusiendeshwe na hisia ama msukumo wa aina yoyote.Iron dome zinafaa sana tu kuwepo hapo Ukraine ila tatizo gharama zake za uendeshaji ni kubwa mno.
T14 Armata
NashangaaIron dome hakuna kitu tuwe wa kweli, tusiendeshwe na hisia ama msukumo wa aina yoyote.
Mifano hai mingi ipo wazi mbali na tukitoa fafanuzi za kiufundi.
Roketi za Hamas ambazo ni za kienyeji zinapita. Oktoba 7 takribani nusu au robo ya rockets zilipenya makazi ya Israel.
Hizbullah kwa rockets wanazozitumia imesababisha kaskazini mwa Israel wakazi wake wamehamishwa mpaka sasa.
Base zake zinapigwa sana na Hizbullah hata taarifa ya Uzi huu inathibitisha hivyo!
Juzi Iran imeonyesha madhaifu makubwa sana ya Iron dome.
Kwa Russia mwenye makombora mengi ya kisasa ndiyo Iron dome itafua dafu?
Tabia za mtu Gaidi unazifahamu lakini?Sanaa ya vita ina adabu zake na lengo la Vita ni kushinda.
Huwezi kushinda vita kwa kuwapiga raia ambao hawana hatia katika medani za kivita wewe unaonekana gaidi na uliyeshindwa.
Vita vinapiganwa kwa wanao pigana vita hivyo hasa hasa wanajeshi, Wanawake, watoto na wazee huwa hawastahiki kupigwa katika viwanja vya vita.
Ndio maana ukitaka ushindi katika vita wapige wale ambao wanawapiga yaani wapiganaji.
Leo 7/10/2024 siku ambayo Hamas walipiga Israel kwa kushitukizaMkuu ngoma imepigwa lini hii?
Kama anavyofanya myahudi anatoa taarifa mapema raia wahame waende maeneo fulaniSanaa ya vita ina adabu zake na lengo la Vita ni kushinda.
Huwezi kushinda vita kwa kuwapiga raia ambao hawana hatia katika medani za kivita wewe unaonekana gaidi na uliyeshindwa.
Vita vinapiganwa kwa wanao pigana vita hivyo hasa hasa wanajeshi, Wanawake, watoto na wazee huwa hawastahiki kupigwa katika viwanja vya vita.
Ndio maana ukitaka ushindi katika vita wapige wale ambao wanawapiga yaani wapiganaji.
Tabia za mtu Gaidi unazifahamu lakini?
Kukisemwa Jeshi, kunatofauti kubwa sana na kitu kinaitwa gaidi
Alokwambia Israel lengo ni kupiga jeshi nani?
Sawa myahudi wa kivuleHizo Katyusha hazina madhara sana kama zile Bunker Busters zinazopigwa kule Beirut
Hawa jamaa nadhani hawalengi raia kama Israel anavyo fanyaHizi boom zinazoingia Israel hazina kishindo cha maangamizi kama zinazotua Beirut?
Hawezi kukujibu sababu ni Bonge la MNAFIKI. Na hakuna litumwa lolote la kiarabu litakwambia ni raia tu waliokufa . Yanachojua ni chuki tu mwarabu kawaambia waiteni wayahudi ni MAYAHUDI. Lakini wapalestina hawaiti MAPALESTINA. Maarabu majinga sana.Mimi nakuliza October 7 Hamas waliuwa wanajeshi? Au raia wasio na hatia?
Mzee unataka kuanzisha lingi na mimi? Nakuletea update ya yale yanayoendelea wewe unaleta ligi 🤣 🤣 🤣 🤣Hao Sunni Scholars sindio hao hao waliokuwa wakisapoti Hamas siku ya October 07.