Irone Dome - Uchawi wa mu-Israeli

Hamas wanarusha tu rockets dhaifu
walikuwa wanarusha makombola kisha wanakimbilia kwenye mahandaki (underground panels), kwa sasa hivi njia zao zote za undegraund zishafumuliwa, organisation nzima ya HAMAS kwisha.

Si waparestina wote wanasupport HAMAS, tunaweza kusema kwamba HAMAS ni kundi la KIgaidi linaikalia kimabavu Parestina, ni wakati wa ukombozi sasa wa waparestina wote.

Kila jambo lina mpango wake.
 
Its 0% HAMAS winning this war, ni wakati wa Ukombozi wa waparestina wote. Hizo underground tunnels unazoongelea wewe zimeshafumuliwa zote mzee.
 
Wewe ni mpumbavu sifikiri unafahamu hata unacho andika . Jinga kabisa
 
Wewe ni mpumbavu sifikiri unafahamu hata unacho andika . Jinga kabisa
sawa wewe mwerevu andika na wewe tuone. Nimesema hivi na narudia tena HAMAS ni kundi la kigaidi na si waparetina wote wana support HAMAS, kifupi HAMAS inaikalia Parestina ki mabavu, ni wakati wa Ukombozi wa waparestina wote duniani.
 
Unaropoka kama mwendawazimu usie jitambua wala usiejua nini unaongea
 
Israeli apartheid, military occupation, settler colonialism and ethnic cleansing is crime against humanity. Israel has violated 28 resolutions of the United Nations Security Council (which are legally binding on member-nations U.N. Charter, Article 25 (1945); a few sample resolutions - 54, 111, 233, 234, 236, 248, 250, 252, 256, 262, 267, 270, 280, 285, 298, 313, 316, 468, 476, etc.
 
Its 0% HAMAS winning this war, ni wakati wa Ukombozi wa waparestina wote. Hizo underground tunnels unazoongelea wewe zimeshafumuliwa zote mzee.
Hujanielewa Mimi nilikua namjibu jamaa aliekua anasema Israel hamna kitu kwa sababu limeshindwa kuwadhibiti kikundi Cha Hamas ambacho hakina hata uwezo wa kiuchumi, so ndo namfafanulia hapo unawezaje kusema hawapo vzr wakati wameweza kujenga nyumba za ardhini kuzunguka Gaza yote?
 
Ukweli gani au unaandika upuuzi tu. Unafahamu hata Hamas ni nini Gaza, Palestine ?
kaka nani asiyejua HAMAS ni kina nani humu? nani asiyejua historia na eneo hilo lenye mzozo tangu karne ya 16 hadi leo? nani asiyejua maandiko ya vitabu vya dini kuhusu eneo hilo tangu kale?
Ni wewe tu watu wanakushangaa.
 
Hivi ndivyo ulivyo jibu swali nililo kuuliza pumbavu kabisa
 
Unaumia ukiwa wapi gaidi?
 
Unawaza kimaskini sana aisee,Israel sio Tanzania babu
 
Hivi ndivyo ulivyo jibu swali nililo kuuliza pumbavu kabisa
Baada ya HAMAS kuomba wapumue, haya ndiyo majibu na Kamanda mkongwe leo...

'Hakuna wakati wa makubaliano':
Kamanda wa zamani wa Israeli
Avi Mizrahi, mkuu wa zamani wa Kamandi Kuu ya jeshi la Israeli, ameonya dhidi ya makubaliano yoyote kabla ya malengo ya vita vya Israeli kufikiwa.

"Sidhani kama huu ni wakati wa kutoa chochote kwa Wapalestina au kwa Mamlaka ya Palestina katika Ukingo wa Magharibi," Mizrahi alisema wakati wa mkutano wa waandishi wa habari mtandaoni. "Tuna kwanza kufikia malengo ya vita ambayo serikali iliweka juu yetu kushinda vita huko Gaza na kuwafukuza viongozi wote wa Hamas," aliongeza.
 
Enyi waparestina msio na hatia, tumieni hayo masaa 4 ambapo vita itasitishwa kila siku ili mvuke sehemu salama. Kung'ang'ania North Gaza ni kujitafutia vifo vyenu bila msingi. HAMAS wamewatumia ninyi kama kinga kwa muda mrefu sasa ni muda wenu wa ukombozi umeshafika.
 
Vita bado ni mbichi - Netanyahu amjibu Macron's

'Tunashiriki maumivu ya Israeli'

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alijibu kwa haraka maoni ya Bw Macron, akisema mataifa yanapaswa kulaani Hamas, si Israel.
"Uhalifu ambao Hamas [inafanya] leo huko Gaza utatekelezwa kesho huko Paris, New York na popote ulimwenguni," taarifa kutoka ofisi ya Bw Netanyahu ilisoma.

'We share Israel's pain'​

Israel's Prime Minister Benjamin Netanyahu responded quickly to Mr Macron's comments, saying nations should condemn Hamas, not Israel.
"The crimes that Hamas [is] committing today in Gaza will be committed tomorrow in Paris, New York and anywhere in the world," a statement from Mr Netanyahu's office read.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…