- Thread starter
- #81
walikuwa wanarusha makombola kisha wanakimbilia kwenye mahandaki (underground panels), kwa sasa hivi njia zao zote za undegraund zishafumuliwa, organisation nzima ya HAMAS kwisha.Hamas wanarusha tu rockets dhaifu
Si waparestina wote wanasupport HAMAS, tunaweza kusema kwamba HAMAS ni kundi la KIgaidi linaikalia kimabavu Parestina, ni wakati wa ukombozi sasa wa waparestina wote.
Kila jambo lina mpango wake.