pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ndege zenu za ATCL zitakapofanikiwa kutua kwenye miji na sehemu mbali mbali duniani kama hizi destinations hapa za KQ nitag tafadhali.Kweli kabisa KQ sio saizi ya ATCL..Hauwezi linganisha ndege 3 chakavu za mkopo na ndege 8 mpya za cash
Yaani KQ inapiga masafa hivi na inaigiza hasara tu? Hehehe nikama malaya anayepigwa miti na kila mtu na bado hata chupi hawezi jinunuliaNdege zenu za ATCL zitakapofanikiwa kutua kwenye miji na sehemu mbali mbali duniani kama hizi destinations hapa za KQ nitag tafadhali.
ATCL nayo haijapata faida hata siku moja, na ndege zake saba tu ambazo nasikia zinapigwa rangi ya nyumba na kusafirisha nyama kama pickup zile za zamani za Chevrolet. [emoji1] Alafu baada ya hizo porojo zako kwamba KQ ina ndege tatu tu chakavu mbona hujabisha kuhusu uhalisia wa hiyo ramani ya route na destination za ndege za KQ?Yaani KQ inapiga masafa hivi na inaigiza hasara tu? Hehehe nikama malaya anayepigwa miti na kila mtu na bado hata chupi hawezi jinunulia
Miaka 40 in service, bado mna ndege 3 tena chakavu na mnapata hasara, kweli nothing works in failed stateATCL nayo haijapata faida hata siku moja, na ndege zake saba tu ambazo nasikia zinapigwa rangi ya nyumba na kusafirisha nyama kama pickup zile za zamani za Chevrolet. [emoji1]
Ndege ikiwa yako hata kukojolea unaweza kojolea wacha tu kupaka rangi ya nyumba..KQ ndege za 1990s kwa mikopo hata kazi rahisi kama kuweka miguu pumzi lazima lindege liende kwa mabwana zenu marekani 😂😂😂ATCL nayo haijapata faida hata siku moja, na ndege zake saba tu ambazo nasikia zinapigwa rangi ya nyumba na kusafirisha nyama kama pickup zile za zamani za Chevrolet. [emoji1] Alafu baada ya hizo porojo zako kwamba KQ ina ndege tatu tu chakavu mbona hujabisha kuhusu uhalisia wa hiyo ramani ya route na destination za ndege za KQ?
Yaani KQ inapiga masafa hivi na inaigiza hasara tu? Hehehe nikama malaya anayepigwa miti na kila mtu na bado hata chupi hawezi jinunulia
Yaani KQ inapiga masafa hivi na inaigiza hasara tu? Hehehe nikama malaya anayepigwa miti na kila mtu na bado hata chupi hawezi jinunulia
Kwa hiyo?, hiyo ndiyo inahalalisha KQ kuwa na ndege 3 tena chakavu baada ya miaka 50 in service?.
Leo ni kama dawa zako za urogi zimekugeukia Endelea kuchizika na hiyo.Kwa hiyo?, hiyo ndiyo inahalalisha KQ kuwa na ndege 3 tena chakavu baada ya miaka 50 in service?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Air hostages? Makubwa haya!Acha madege yetu yabebe chochote ila tujue we are doing business sio luxury. Mliotaka kuwapandisha hawara zenyu kwenda Mz na kurudi kama ma Air Hostages mmebunda. The airline is now making money.
Wanabeba bure au kwa kulipwa? Kama bure, kuna tatizo, lakini kama wanalipwa sioni ubaya. Mizigo ina faida kuliko kubeba watu kwa nauli.Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat? Watz nataka jibu.
====
“Airbus iliyokuja juzi shughuli zote zilisimama, leo hatuelewi kwamba hadi sasa imezalisha shilingi ngapi? Zipo taarifa inaonekana inabeba nyama kutoka Mwanza, tunataka tuambiwe kwa sababu
zimenunuliwa na fedha za Watanzania."- Mbunge Devota
Minja akihoji ilipo Airbus ya ATCL
View attachment 1063874
Toa karatasi lako, Bunge ndio chombo cha mwisho kinachofuatilia Mali za nchi. KQ ina ndege 3 pekee na inapata hasara kila mwaka (Ref. Kenyan Parliament)Leo ni kama dawa zako za urogi zimekugeukia Endelea kuchizika na hiyo.View attachment 1065330
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo wanavyoitwa wewe hujui huu ni msamiati mpya?? Tatizo lenu hamsikilizi hotuba za kiongozi wetu pendwaAir hostages? Makubwa haya!
Wacha kulinganisha shirika uchwara kama KQ na Etihad..ETIHAD had a loss of $1 bn last year.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa karatasi lako, Bunge ndio chombo cha mwisho kinachofuatilia Mali za nchi. KQ ina ndege 3 pekee na inapata hasara kila mwaka (Ref. Kenyan Parliament)
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kulinganisha shirika uchwara kama KQ na Etihad..
Kesho Dirimulaina tunaweka tangi la maji taka. ( honey sucker) libebe vinyesi kutoka dar kwenda mwanza bora pesa inaingia, na mkileta udaku sana tutachanganya vinyesi na nyama tubebee kwa viti za abiria ndio mpate ngumzo mitandaoni
ATCL ipo,na kesho tunabebea vinyesi na tuchanganye na nyama mpate cha kuandiaka humu😂😂😂😂
ATCL ipo,na kesho tunabebea vinyesi na tuchanganye na nyama mpate cha kuandiaka humu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]