pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Ndege zenu za ATCL zitakapofanikiwa kutua kwenye miji na sehemu mbali mbali duniani kama hizi destinations hapa za KQ nitag tafadhali.Kweli kabisa KQ sio saizi ya ATCL..Hauwezi linganisha ndege 3 chakavu za mkopo na ndege 8 mpya za cash