Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat?

Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat?

Kweli kabisa KQ sio saizi ya ATCL..Hauwezi linganisha ndege 3 chakavu za mkopo na ndege 8 mpya za cash
Ndege zenu za ATCL zitakapofanikiwa kutua kwenye miji na sehemu mbali mbali duniani kama hizi destinations hapa za KQ nitag tafadhali.
images
 
Yaani KQ inapiga masafa hivi na inaigiza hasara tu? Hehehe nikama malaya anayepigwa miti na kila mtu na bado hata chupi hawezi jinunulia
ATCL nayo haijapata faida hata siku moja, na ndege zake saba tu ambazo nasikia zinapigwa rangi ya nyumba na kusafirisha nyama kama pickup zile za zamani za Chevrolet. [emoji1] Alafu baada ya hizo porojo zako kwamba KQ ina ndege tatu tu chakavu mbona hujabisha kuhusu uhalisia wa hiyo ramani ya route na destination za ndege za KQ?
 
Ndege ikiwa yako hata kukojolea unaweza kojolea wacha tu kupaka rangi ya nyumba..KQ ndege za 1990s kwa mikopo hata kazi rahisi kama kuweka miguu pumzi lazima lindege liende kwa mabwana zenu marekani 😂😂😂
 
Hawa wakenya wana maneno sana .....eti zimekua meat van[emoji38][emoji38]
 
Acha madege yetu yabebe chochote ila tujue we are doing business sio luxury. Mliotaka kuwapandisha hawara zenyu kwenda Mz na kurudi kama ma Air Hostages mmebunda. The airline is now making money.
 
Acha madege yetu yabebe chochote ila tujue we are doing business sio luxury. Mliotaka kuwapandisha hawara zenyu kwenda Mz na kurudi kama ma Air Hostages mmebunda. The airline is now making money.
Air hostages? Makubwa haya!
 
Is it true that ATLC has no passengers to carry and has assorted to transporting meat? Watz nataka jibu.

====

“Airbus iliyokuja juzi shughuli zote zilisimama, leo hatuelewi kwamba hadi sasa imezalisha shilingi ngapi? Zipo taarifa inaonekana inabeba nyama kutoka Mwanza, tunataka tuambiwe kwa sababu
zimenunuliwa na fedha za Watanzania."- Mbunge Devota
Minja akihoji ilipo Airbus ya ATCL
View attachment 1063874
Wanabeba bure au kwa kulipwa? Kama bure, kuna tatizo, lakini kama wanalipwa sioni ubaya. Mizigo ina faida kuliko kubeba watu kwa nauli.
 
ETIHAD had a loss of $1 bn last year.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kulinganisha shirika uchwara kama KQ na Etihad..
Kesho Dirimulaina tunaweka tangi la maji taka. ( honey sucker) libebe vinyesi kutoka dar kwenda mwanza bora pesa inaingia, na mkileta udaku sana tutachanganya vinyesi na nyama tubebee kwa viti za abiria ndio mpate ngumzo mitandaoni
 
Bunge kila kitu hata huyu amejua ndege zenyu mmeuza Kenya, hamna abiria.

Toa karatasi lako, Bunge ndio chombo cha mwisho kinachofuatilia Mali za nchi. KQ ina ndege 3 pekee na inapata hasara kila mwaka (Ref. Kenyan Parliament)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama KQ ni uchwara basi ATLC ni non existence.

Back
Top Bottom